Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,778
- 1,119
Mwanzo wa hesabu ni moja. Hiyo 100 years imeisha anza! Ndio serikali imeisha hamia.Hawezi
Mkuu kujenga mji inachukua one generation,ambayo ni minimum of 100years!
Hawa watu kuna kichaa kimewapanda!
Siku wanarudi na kujua walikua wanaota,itakua ni too late!