Rais Magufuli: Tumehamia Dodoma moja kwa moja

Rais Magufuli: Tumehamia Dodoma moja kwa moja

Hamna lolote maigizo hayo ya ngonjera na hadithi za Abunuwasi, hakuna mhamaji hapo.
 
Nyerere alihamia Dodoma sababu ya kuogopa kupinduliwa sababu yuko karibu na bahari. Huyu naye kahama kwa sababu hizo hizo eti anaishi pangoni
Bahari ndiyo inapindua? Hakuna ukweli kwenye hili. Ni maneno ya vijiweni haya.
 
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.

My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Jamaa Kilaza Maji dah, sijui kuna kitu gani anakijua...hiyo Katiba ya kuitambua Dodoma aliipitisha lini na wapi hata wengine wasiweze kubadili?😀
 
Hivi kuna rais kavunja katika kama magufuli toka tanzania izaliwe?
Kwani anajua ata maana na vitu vilivyoandikwa kwenye katiba? kamuulize ata ibara ya 1 ya katiba yetu inasemaje. Yeye anajua tu kufokea watu basi.
 
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.

My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Afe tu....yote yaliyoandikwa ama kunenwa yatatimia.....kwa ukamilifu...
 
Twende taratibu, hauna haja ya kutukana, pia iekeweke ni mkuu wa nchi, hivyo jaribu kuzuia hisia.

Mkuu wa nchi unamjua wewe!

Sijamtaja popote!

Na una uhakika gani nilikua namuongelea yeye?

Acha umatako!

Na kama unataka kuniona njoo Germantown hapa Maryland!

See me when you see me,I will take my chances!

Na kumbuka huku tuna second amendment mamaeeeee!

Nisogelee nakupa glocks za matako vilevile,hivyo jipange!
 
Hivi kwa taasisi zote za umma tumetumia gharama kiasi kujenga miundombinu, kuhamisha na kulipa watumishi posho?

Tanzania ni nchi TAJIRI nimekubali
 
Mkuu wa nchi unamjua wewe!

Sijamtaja popote!

Na una uhakika gani nilikua namuongelea yeye?

Acha umatako!

Na kama unataka kuniona njoo Germantown hapa Maryland!

See me when you see me,I will take my chances!

Na kumbuka huku tuna second amendment mamaeeeee!

Nisogelee nakupa glocks za matako vilevile,hivyo jipange!
Poa mkuu nashukuru kwa angalau kutumia muda wako kunijibu, ni heshima kubwa kwangu.
Huko Germantown mimi sitaweza kufika, maana nipo huku Tandahimba.
 
Back
Top Bottom