Rais Magufuli: Tumehamia Dodoma moja kwa moja

Ninachokisema hapa najua wapo watakao Ds ila kiukweli jaman naomba niseme kweli yani Mh Rais Magufuli anastaili Pongezi za dhati sanaa.

Si kazi nyepesi mtu kuweza kuama mkoa kama Dar mzee ukaamia mkoa kama Dodoma hasa kwa watu ambao tumekulia Dar tunaelewa.

Nakumbuka Rais mstafu alivyo stafu siku moja alimua kwenda kijijini kwao bahati mbaya sanaa alikutana na mvua weeee ilo Tope na udongo wa kuteleza wa msata, yani jamaa yangu alisubuli mvua ikauke alirudi mjini fasta pale mtaa wa jakaya.

Mimi nasema hata ingelikuwa mimi nisingeweza kubali kuama mjini hapa heti naamia kijijini Dodoma yani niache kuona watoto wkali pale magogoni niende dodo nikaonane na wajomba zake ndugai walio jaa ukoma?

Nisingeenda na nina uhakika Rais ajae atalaani sanaaa maamuzi ya kumtoa dar kumpleka dodoma.kweli wewe jamaa hujfata Bata ikulu ila umenikomeshea wana wengi hasa wa geti jeusi kuna mmoja nilikuwa kila siku namshusha hapo getini mwa jumba jeupe jamaa alikuwa anajiona kama yy ndo rais kudadeki sasahiv yuko Dodoma.

Dodoma hata uifnanyeje baba utaicha ulivyoikuta mkoa unalaana huo ndio maana hautoi hata viongozi makini wtu wa huko ni omba omba tu.
 
habari bila picha hainogi.weka weka mapicha sisi wavivu tusome.
 
Amehofia maandamano ya wana chadema kufuatia uchafuzi unaoendelea. Kumbuka enzi za tangazo la maandamano la Mange mzee baba alikuwa anazunguka mikoani kuzindua vitu vya zamani na sherehe za muungano akahamishia Dodoma.

Dodoma anajisikia amani wakati wa sintofahamu sababu ni ngome ya ccm.
 
akiweza kubakia Dodoma hadi 2025 basi mifumo yote ya kiserikali itaimarika hukohuko Dodoma, na mrithi wake ataona aibu kurudi magogoni.
pia kama vipi magogoni igeuzwe kuwa 'museam'
Inakuwa ikulu ndogo hiyo
 
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.

My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Ahahahaaaaa mkuu nikuulize swali?

Iv wewe si una wadogo zako nyumban?
Je unaweza kuwapiga? Jibu ni ndiyo na hata kama ukiwachapa huwezi umia na utamuonea utakavyo

Sasa shida atokee mtu wa pemben ampige haloooo utaumia sana na unaweza pigana na yule alipiga mdogo wako, japo wewe kila siku mdogo wako ushamfanya Ngoma.
 
Nyerere alihamia Dodoma sababu ya kuogopa kupinduliwa sababu yuko karibu na bahari. Huyu naye kahama kwa sababu hizo hizo eti anaishi pangoni
Kumbe jf bado kuna watu wapumbafu kama wewe

Stupid, shwain
 
akiweza kubakia Dodoma hadi 2025 basi mifumo yote ya kiserikali itaimarika hukohuko Dodoma, na mrithi wake ataona aibu kurudi magogoni.
pia kama vipi magogoni igeuzwe kuwa 'museam'
Wauziwe wawekezaji wajenge mahoteli na maofisi hatuwezi kuwa na ikulu mbili
 
Ninachokisema hapa najua wapo watakao Ds ila kiukweli jaman naomba niseme kweli yani Mh Rais Magufuli anastaili Pongezi za dhati sanaa.

Si kazi nyepesi mtu kuweza kuama mkoa kama Dar mzee ukaamia mkoa kama Dodoma hasa kwa watu ambao tumekulia Dar tunaelewa.

Nakumbuka Rais mstafu alivyo stafu siku moja alimua kwenda kijijini kwao bahati mbaya sanaa alikutana na mvua weeee ilo Tope na udongo wa kuteleza wa msata, yani jamaa yangu alisubuli mvua ikauke alirudi mjini fasta pale mtaa wa jakaya.

Mimi nasema hata ingelikuwa mimi nisingeweza kubali kuama mjini hapa heti naamia kijijini Dodoma yani niache kuona watoto wkali pale magogoni niende dodo nikaonane na wajomba zake ndugai walio jaa ukoma?

Nisingeenda na nina uhakika Rais ajae atalaani sanaaa maamuzi ya kumtoa dar kumpleka dodoma.kweli wewe jamaa hujfata Bata ikulu ila umenikomeshea wana wengi hasa wa geti jeusi kuna mmoja nilikuwa kila siku namshusha hapo getini mwa jumba jeupe jamaa alikuwa anajiona kama yy ndo rais kudadeki sasahiv yuko Dodoma.

Dodoma hata uifnanyeje baba utaicha ulivyoikuta mkoa unalaana huo ndio maana hautoi hata viongozi makini wtu wa huko ni omba omba tu.
Hapo kwenye red,Kuhama,Nahamia.
 
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.

My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Katiba mbona inavunjwa kila siku mwache ajaye naye aje aikanyage ili ipatikane nyingine hi imejaa viraka
 
Nyerere alihamia Dodoma sababu ya kuogopa kupinduliwa sababu yuko karibu na bahari. Huyu naye kahama kwa sababu hizo hizo eti anaishi pangoni
Dodoma ni salama zaidi ni ngome ya ccm hakuna hofu ya maandamano kule hata akikaa miaka 30 ni shwali tu
 
Back
Top Bottom