Rais Magufuli: Tumehamia Dodoma moja kwa moja

Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.

My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?

Tambua kuwa kuhamia dodoma sio maamzi yake bali anatekeleza ilani ya chama kilichompa dhamana
 
Anasema ata akifa leo makao makuu yatakuwa dodoma hayawezi kurudi dar maana ni kuvunja sheria anasema anaweza ondoka akaja mtu akataka makao makuu yarudishwe dar never haitatokea itakuwa ni uvunjifu wa katiba.

My take: kumbe yeye akivunja katiba nisawa ila hataki wengine wavunje kama yeye?
Mswada wa kubadilisha hiyo sheria utaingia bungeni kwa hati ya dharura. Kama kawaida wote watasema NDIYOOOOOOOOOO. Kwisha!
 
Back
Top Bottom