esther mashiker
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 616
- 552
Mikatabba ya Kiwanja cha ndege cha Chato, ya Stiegler's Gorge, ya ununuzi wa ndege pia viwekwe hadharani, ili Watanzania wafanye comparisons!Shamba la bibi, kuna mambo lazima tukubali Rais wetu anajitahidi sana kuyaweka vizuri na tumpe heko. Katika kulinda uridhi wetu kwa kweli nampa heko, anajitahidi sana.
Mikataba ya hovyo kama hii ni wizi wa mchana kabisa. Hamna maslahi kwetu kama watanzania. Hii mikataba kama ya mangungo ifutiliwe mbali.
Natamani aingilie mikataba ya gasi pia, kule nako sijui kama tupo salama.
Kama watakubaliana na mkataba ambao ni win win wajenge ila mkataba ambao hatufaidi chochote, hatuhoji chochote yaani tumeuza uridhi wetu kwa miaka 99 bila chochote watu wanachuma tu, tena bado turejeshe gharama na hatuna uwezo wa kufanya chochote mbadala, hapana kwa kweli..khaaa
Heko Rais, tuliendie urithi wetu tutakukumbuka kwa hilo.
Shamba la bibi, kuna mambo lazima tukubali Rais wetu anajitahidi sana kuyaweka vizuri na tumpe heko. Katika kulinda uridhi wetu kwa kweli nampa heko, anajitahidi sana.
Mikataba ya hovyo kama hii ni wizi wa mchana kabisa. Hamna maslahi kwetu kama watanzania. Hii mikataba kama ya mangungo ifutiliwe mbali.
Natamani aingilie mikataba ya gasi pia, kule nako sijui kama tupo salama.
Kama watakubaliana na mkataba ambao ni win win wajenge ila mkataba ambao hatufaidi chochote, hatuhoji chochote yaani tumeuza uridhi wetu kwa miaka 99 bila chochote watu wanachuma tu, tena bado turejeshe gharama na hatuna uwezo wa kufanya chochote mbadala, hapana kwa kweli..khaaa
Heko Rais, tuliendie urithi wetu tutakukumbuka kwa hilo.
Niliwashangaa sana Chadema kutetea huu mradi, isijekuwa wabunge wa hiki chama walirubuniwa. Nina mashaka sana na Zito kwa sasa. Maana aliutetea sana huu mradi.
Tulishazisema hizo sababu hapa na Rais amethibitisha.
"Natamani aingilie mikataba ya gasi pia, kule nako sijui kama tupo salama"Hata mimi natamani aingilie huku ingawa najua huku pia lazima kuna michezo imechezwa na hakuko salama...Shamba la bibi, kuna mambo lazima tukubali Rais wetu anajitahidi sana kuyaweka vizuri na tumpe heko. Katika kulinda uridhi wetu kwa kweli nampa heko, anajitahidi sana.
Mikataba ya hovyo kama hii ni wizi wa mchana kabisa. Hamna maslahi kwetu kama watanzania. Hii mikataba kama ya mangungo ifutiliwe mbali.
Natamani aingilie mikataba ya gasi pia, kule nako sijui kama tupo salama.
Kama watakubaliana na mkataba ambao ni win win wajenge ila mkataba ambao hatufaidi chochote, hatuhoji chochote yaani tumeuza uridhi wetu kwa miaka 99 bila chochote watu wanachuma tu, tena bado turejeshe gharama na hatuna uwezo wa kufanya chochote mbadala, hapana kwa kweli..khaaa
Heko Rais, tuliendie urithi wetu tutakukumbuka kwa hilo.
Ila hujiulizi nani alikuwa waziri wako wa ujenzi wakati president kikwete anaweka jiwe hili la msingi,why hawaku rise hizi issue?,uoga wao na njaa ya matumbo yao wakawa kimya kulinda vibarua vyao na sasa wanataka kujifanya ni mashujaa,politics za kinafiki zitatuumiza sana nchi hii ,na tukitukanwa kwa kuitwa pithole country tunachukia wakati ndio ukweli wenyewe.Niliwashangaa sana Chadema kutetea huu mradi, isijekuwa wabunge wa hiki chama walirubuniwa. Nina mashaka sana na Zito kwa sasa. Maana aliutetea sana huu mradi.