Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Yepi hayo yataje. Hayo mabadiliko ni yepi hayo?

Jikiteni kwenye hoja sio mnatoa toa tu maneno matupu. Yataje hayo mabadiliko ya kimfumo na kiutendaji.
atakua anamaanisha kuteua makada wa chama na wasukuma kwenye nafasi za uteuzi.
 
Kafanya mambo makubwa ila tu wabongo hawana shukrani, 1-ndani ya mwaka mmoja ; BOMBARDIER 2, na nyingine inakuja.
2-safari ya makao Makuu kuyahamishia DODOMA.
na 3- mke wa rais kutibiwa muhimbili, yote hayo sio mambo ya kubeza
malimbikizo yetu mwambie atulipe
 
Daa nipo mbali sana kuifatilia hii nchi kinachoendelea naona mapicha picha tuu tangu alivyofanya figusu mkopo ndio aliniua kabisa... Wanao mtetea wanamaslah yao binafs lkn uki summarize hamna jipya
Kwani wakati wa jk watu hawakukosa mikopo?
 
Wewe ni mwongo. Kuna sehemu umejibu 90% wapo mahabusu au wamewahi kotoroka. Hapa unasema 70% wako keko. Ndugu yangu, acha blaablaa. Kazi inajionyesha yenyewe.
Akili ndogo ni ndogo tu huwezi kunielewa
 
Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.

Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.

Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.

Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.

Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.

Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.

Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.

Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.

Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.

Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.

Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.

Naomba kutoa hoja.

Quinine.
Jamani pombe mbaya kweli kweli
 
Swali ni chadema mpaka sasa wabunge wake wamefanya nini majimboni kwao??
 
PREDUDICE ni ugonjwa mbaya sana, tafuta matibabu ndugu !
 
Hajaishiwa pumzi amedhibiti nyie vikaragosi. watu gani mnashangilia uongo eti hali inarudi kama zamani kwenye uzembe na upigaji. mumejaa tu hasira ya kufa mtu kwa kukatiwa mirija.
 
Alijitapa sana na akaenda ulingon akidhani atamkuta Dulla Mbabe lakini kufika ulingoni anamkuta Floyd Mayweather anamsubiria wabutuane. IKULU HAPAWAFAI WAJINGAWAJINGA.
 
mwanzisha uzi kasema awamu ya 5 walisema hakutakuwepo kukosa mikopo. ndo maana anasema tumerudi kule kule (kwa kidhungu skwea wani)
_20161229_073801.JPG
_20161229_073714.JPG
_20161229_073740.JPG

Watanzania wenzetu wanaosoma Uchina nao wamekatiwa mirija ya Mikopo,tumekazania kuwasomesha vijana hadi form IV halaf elim ya juu hawapewi.
Kupanga ni kuchagua
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
mleta hoja ni dume la nyumbu. hawa ndio wenye hasira ya kufamtu na jpm. wengine waliacha kazi kusubiri el aingie magogoni wachukue post. wanaota eti jpm hamalizi kipindi utabiri wa tb utatimia. kwa unyumbu wao wanaamini ndoto ya kijinga. mtu unawezaje kushangilia malengo mema ya jpm hayajatmia kitu ambacho kwanza ni uongo.
 
Huu mchezo hautaki hasira....ngoja tuendelee kumwangalia anavyochemka
ndio uzuri wa jf. waliyokula kiboko ya jpm wanapata mahali pa kupumua na kujifariji. lakini ukweli upende ukatae nchi imeanza nyoka. ufisadi uzembe na ubadhirifu vimepungua sana. hela ya umma hailiwi ovyo tena ndio maana wapiga dili wanalia kilio cha msiba huku kwenye mitandao.
 
Back
Top Bottom