Jackomwanda
Senior Member
- Dec 23, 2016
- 105
- 92
Naunga mkono hoja
Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.
Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.
Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.
Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.
Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.
Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.
Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.
Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.
Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.
Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.
Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.
Naomba kutoa hoja.
Quinine.
Naomba nikuulize swla ndogo.je hiyo mahakama ya mafisadi inawasuhu mfisadi wapya au hata waliopita.mh.anasema alikuwa serikalin zaid ya miaka 20,hivo ufisadi huu anaujua na mengine yamejitokeza akiwemo.Mahakama ya mafisadi itafanyaje kazi wakati vibaka wote mmenyooka? Thats the whole point....unapaswa kulalamika ikiwa ufisadi unaendelea huku watuhumiwa hawafikishwi mahakamani
Atawahi kuwatia lokapu waandishi wote wakiripoti kuna janga la njaa.Asubiri balaa la njaa linakuja mda si mrefu
Ni humu humu mlikuwa mnalalamika na issue za bandari na kwengine, leo wametumbuliwa wale tulokuwa tunalalamika bado mnalaumu, Nadhani kuna wengine wametumbuliwa kihaki hasa hata mwanzoni mlikuwa mna msifu, iweje sasa mnakuwa na kigeugeu.
Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.
Naomba kutoa hoja.
Quinine.
Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.
Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.
Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.
Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.
Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.
Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.
Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.
Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.
Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.
Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.
Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.
Naomba kutoa hoja.
Quinine.
Mkuu wafanyakaz wa umma hawapo km unavyojidanganya kwanza wana madai kibao hlf hawajapandishwa madaraja sambamba na mshahara kwa muda sasa,zaidi wanafanya kazi kwa kinyongo na ilimradi aonekane anawajibika lkn ukweli hapana,nadhan kwenye nyanja ya Elimu,Afya majibu utayapata time will tellUkiwa na akili ndogo kazi sana
Mabadiliko makubwa ya kimfumo na kiutendaji yaliyofanyika huyaoni au unajitia upofu
Dhana ya kujitegemea pia huioni kbs kwmba ime gain momentum kwa kipindi hiki kifupi
Mianya ya rushwa ilivyopunguzwa kama sio kuzibwa kabisa huoni nalo
Uwahibikaji wa watumishi wa umma pia umefumba macho bado
Bado tuna safari ndefu
YATAJE MKUU....Nashangaa umeangalia upande mmoja tu ilhali Rais kafanya mambo mengi makubwa yanayofuta hayo uliyoandika
Kwani ilivyoanzishwa kulikuwa na matarajio ya Ufisadi kushamiri? Ina maana alivyosema atainyoosha Nchi alikuwa anatusanifu wananchi? Kwani majipu aliyotumbua mwanzoni yalikuwa yametendeka away hii? Usituletee hoja za Mwakyembe hapa Kwa kukosa majibuMahakama ya mafisadi itafanyaje kazi wakati vibaka wote mmenyooka? Thats the whole point....unapaswa kulalamika ikiwa ufisadi unaendelea huku watuhumiwa hawafikishwi mahakamani
Yepi hayo yataje. Hayo mabadiliko ni yepi hayo?Ukiwa na akili ndogo kazi sana