Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Rais kaishiwa pumzi, karudi square one

Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.
Mkuu kwani lipi ambalo sio kweli kwa yaliyosemwa? mchezo huu hautaki hasira twende kwa hoja.
 
Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.

Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.

Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.

Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.

Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.

Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.

Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.

Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.

Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.

Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.

Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.

Naomba kutoa hoja.

Quinine.
Mungu akutakie maisha mema tena marefu mana ww ndio mkweli kbsa amen
 
  1. Kanunua ndege sita
  2. Ujenzi wa Reli ya Kati kwq Standard Gauge
  3. Ujenzi wa Bomba la Mafuta toka Uganda hadi Tanga
  4. Kudhibiti ufisadi na matumizi mabaya ya fedha za umma
  5. Ujenzi wq Hostel pale UDSM
  6. Nyumba za Magomeni Kota
  7. Kupandisha bei ya korosho kutoka shilingi 1000 hado 4000
  8. Ujenzi wq Barabara ya Mwenge hadi Morocco
  9. Ununuzi wa Meli mpya Ziwa Tanganyika na Victoria
  10. Umeme wa uhakika. Hakuna mgawo kwa sasa
  11. Nk nk
iyo namba 10 ni uongo mtupu, njoo magu au bariadi uone umeme unavyogawiwa kila siku
 
Quinine Rais amepewa na wanancchi mandate ya miaka mitano kuongoza nchi na kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM. Ndio kwanza tumemaliza mwaka mmoja, kutoa hukumu kwamba Rais atamaliza muda wake akayaacha kama alivyoyakuta ni upotoshaji or rather wishful thinking.

wakati ni muamuzi sahihi wa kufanikiwa kwa Rais...na wakati huo ni miaka mitano na sio mwaka mmoja. Lakini hata ukiamua kumpima kwa mwaka mmoja, umechagua kuyaacha mambo ya msingi yaliyokwishafanyika yenye manufaa kwa wananchi wengi.

Jambo la kwanza na kubwa lililofanyika ni kutoa ELIMU BURE kuanzia msingi hadi sekondari. usipoangalia jambo hili kwa upana,waweza kudhani ni jambo dogo,lakini ukweli ni kwamba familia zote mijini na vijijini zenye watoto wenye umri wa kwenda shule, sasa wana uhakika wa elimu ya watoto wao katika ngazi hiyo ya msingi.

Eneo jingine ambalo Serikali inachukua hatua ambalo watu wengi hawalizungumzi ni kulipa madeni. Tunaposoma habari kwamba serikali imekopa fedha kujenga barabara, hospitali n.k maana yake ipo siku tutatakiwa kulipa. Serikali ya Awamu ya tano imeingia madarakani katika kipindi ambacho madeni yaliyokopwa miaka ya nyuma yamemature na yanatakiwa kulipwa. Kwa kuweza kulipa madeni hayo ndiko kunakoifanyTanzania iendelee kuaminiwa na mashirika ya fedha ya kimataifa kuendelea kukopeshwa fedha kwa ajiili ya kutekeleza miradi mipya ambayo itawagusa wanachi walio wengi

Kuanza hatua za Kutekeleza miradi yenye tija kwa wananchi wengi. hivi sasa Serikali ipo kwenye hatua ya kupata mkandarasi wa kujenga Reli ya Kati katika Kiwango cha kimataifa. Mradi huu utafungua upya fursa za uchumi kwa wananchi wa dar es salaam, Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Kigoma, Mwanza.....Reli itakapojengwa itatoa ajira kwa maelfu ya wanannchi, na itakapokamilika itarahisisha usafirishaji wa mizigo na kupunguza gharama za kufannya biashara kutokana na urahisi iwa usafiri...lakini sio hivyo tu ikikamilika itapungusa kasi ya uharibifu wa barabara zetu ambazo zimejengwa kwa pesa nyingi za walipakodi na mikopo tunayoendelea kuilipia

Kupunguza mianya ya upotevu wa fedha za umma kwa njia ya ukwepaji kodi, malipo hewa (mishahara hewa, wanafunzi hewa, zabuni hewa) pamoja na overpricing/overcharging zilizokuwa zinafanywa kwenye manunuzi ya umma ambayo mwisho wake mzigo ulikuwa unabebwa na walipakodi. Juhudi zilizokwishafanyika zinastahili kuungwa mkono,lakini zaidi ushirikiano wa wananchi wazalendo, wenye nia njema ya kuona maovu yanatoweka unahitajika sana....Rais hawezi kujua kila kitu kinachotokea kila mahala.....anahitaji ushirikiano wa wananchi, anahitaji utendaji bora wa vyombo vyake.....

Mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni.....ndani ya muda mfupi tumeona ndege yetu iliyokuwa inachechemea miaka nennda rudi inaruka.....tena ikiwa na ndege mbili mpya tunazomiliki wenyewe. Wapo watu wanabeza mafanikio hayo....pengine ni kwakuwa tumesahau tulikotoka......hivi mnajua ATCL iliwahi kukodikukodisha ndege ya zamani na kulipia mabilioni ya shilingi? leo hii tunamiliki ndege,hatudaiwi na mtu...si jambo la kubeza.

Kwa vyovyote vile, yapo mapungufu na changamoto mbalimbali zilizojitokeza ndani ya mwaka mmoja, lakini hazitoshi kutoa hukumu ya kushindwa kazi wakati kuna mafanikio mengi na muda wa miaka minnne wa kutekeleza zaidi. Tumpe nafasi Rais wetu atekeleze wajibu aliopewa na wananchi ili tutoe verdict yetu vizuri baada ya miaka mitano. pale penye mapungufu tuwe wazalendo kutoa solutions zifanyiwe kazi na sio kupinga tu maana nchi hii ni yetu sote.
Kweli ni vigumu ku judge performance ya mtu kwa kipindi kifupi, lakini umeshajiuliza na wewe kwanini umpongeze kwa kipindi kifupi kwanini usimpe muda wa miaka mitano ndipo umpongeze.
 
Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.

Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.

Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.

Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.

Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.

Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.

Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.

Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.

Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.

Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.

Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.

Naomba kutoa hoja.

Quinine.
Basi sawa. Kwahiyo hamtalalamika tena!
 
Kafanya mambo makubwa ila tu wabongo hawana shukrani, 1-ndani ya mwaka mmoja ; BOMBARDIER 2, na nyingine inakuja.
2-safari ya makao Makuu kuyahamishia DODOMA.
na 3- mke wa rais kutibiwa muhimbili, yote hayo sio mambo ya kubeza
 
Naunga mkono hoja
Safari za nje za Watumishi wa Umma kama kawaida wengine hukaa huko wiki 3, mwezi ili mradi eti wamepata wafadhili wa safari zao. Huenda na kurudi. Kama hawajapata safari hasa wale waliozoea huamua kutembea mwezi mzima mikoani ili wajipatie kipato cha ziada cha kuendesha maisha.
 
Mahakama ya mafisadi itafanyaje kazi wakati vibaka wote mmenyooka? Thats the whole point....unapaswa kulalamika ikiwa ufisadi unaendelea huku watuhumiwa hawafikishwi mahakamani
hakuna alienyooka hakuna wa kumshitaki kwani kila kona kuna wahusika ni vigoo waliopita sasa anajuwa kuwa mfumo uliomwingiza ni wa kifisadi na lazima awalipe fadhila.Ameona anyamaze mambo yamekuwa mazito.Hiyo ndiyo CCM.
 
Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.

Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.

Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.

Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.

Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.

Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.

Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.

Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.

Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.

Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.

Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.

Naomba kutoa hoja.

Quinine.
Najua sheria na Katiba yoyote duniani haswa kwa nchi za kidemocrasia zinatoa UHURU KWA RAIA KUTOA MAONI YAO NA KUPEWA TAARIFA JUU YA MUSTAKABALI WA TAIFA LAO,,lakini kuna baadhi yetu tunatumia UHURU huu vibaya,,

Hivi mnajua kama kila mkuu wa idara serikalini kwa awamu ya 4 sijui awamu za nyuma alikuwa analipwa 20M kila mwaka za fenicha za nyumbani kwake, je hali ya wananchi kiuchumi ilikuaje?

Posho za vikao,,posho za kujikimu za mbunge 1 kwa mwezi zilikuwa ni zaidi ya mishahara ya walimu 35 wa shule za serikali tena wenye degree,,watu tulipiga sana kelele juu ya hili ila serikari ya hawamu ya 4 iliweka pamba masikioni,, serikali hii imepunguza posho za wabunge ili kuleta usawa wa kipato,bado tunalaumu tena,,sasa tunataka nini?

Watu walikuwa wanasafiri ovyo bila mpango wala utaribu maalumu na wengi kwa maslahi yao binafsi wakiongozwa na mkuu mwenyewe,,tulipiga sana kelele,,serikali hii ilipoingia madarakani ikaweka utaratibu mzuri wa watu kusafiri ili kupunguza gharama za uendeshaji shughuli za serikali na kupata nguvu ya kutosha kuboresha huduma za jamii,,bado tunalaumu,,sasa tunataka nn??

Ofisi zote nyeti za serikali waliwaweka watoto wao tena wakiwa na vyeti vyeki na kuwalipa mishaara minono,,wafanyakazi hewa walikuwa kibao,,sasa UHAKIKI unafanywa ili waliofoji vyeti watolewe na nafasi zitangazwe kwa wenye sifa wapate bado tunabeza,,sasa tunataka nini??

Issue ya kushuka kwa pato la Taifa au taasisi za fedha kupata asara sio kwetu tuu,,China jimbo la Shangai banki zimepata asala kwa 6%,,Pato ka Taifa China limeshuka kwa 1%,,Posho kwa wananchi wasio na ajira China imefika 45%,,sasa hayo yote yanayotokea China yanasababishwa na serikali yetu?

Lazima tujue huwezi kurekebisha makosa yaliofanywa nyuma bila kujua wapi palipokosewa na kwa kuwa makosa yalifanywa makusudi kwa maslai ya wachache wenye nguvu na sauti,,basi lazima vibaraka wao wapige kelele,,wakashifu n.k.

Kitu ninachoamini na kamwe sitobadilika,,Vijana wengi waliichukia CCM na kujiunga upinzani kwa kuwa CCM ilishindwa kabisaa kutoa majibu sahihi kwa matatizo ya wananchi wake,,chama hakikuwa mali ya wanyonge na wananchi tena,,misingi ya chama ilishakufa na kuzikwa.

Me nazani tumwache Bwana mkubwa afanye kazi na tuwe na subira,,Marekani kwenyewe sasa hivi wapo kwenye mgogoro kwani 124$ bilioni zilitumika vibaya hawamu ya Obama ila Trump kaliibua ilo but FBI NA CIA wanalificha.

Okey mchana mwema na hayo ni mwawazo yangu tuu.
 
Ni kwa waliopungukiwa maarifa tu ndo wanaoweza kuunga mkono hoja hii ya hovyo. Ka una maarifa timamu huwezi kuleta hoja hii ukafikiri ndo jambo jema kwa nchi na kwamba tulishabikie hapa JF. Sisi kama watu waungwana yatupasa kumuunga mkono mheshimiwa raisi kuhakikisha nchi inakaa kwenye mstari na inakuwa na maendeleo chanya na si kumdhihaki na kuonyesha juhudi zake ni bure na kwamba nchi iendelee kuendeshwa hovyohovyo kwa kuendekeza wahujumu uchumi, wauza madawa ya kulevya, mafisadi na majanga mengineyo ktk nchi.

Ni maoni yake. Kumbuka kuwa sio lazima watanzania wote tuwe na mtazamo unaofanana. Pia kama kafanya uchambuzi na katoa huja kuthibitisha anachokieleza wewe pia jitahidi uwashawishi wasomaji waelewe msingi wa ubishani wako. Usitake tufike mahali tuwe na ukondoo wa kinafiki kila jambo analofanya mfalme tulipigie makofi kuashiria kuwa tunapendezwa nalo hata kama halitupendezi.
 
Kila kitu alichodhani atakirekebisha kimeanza kurudia hali yake ya zamani.

Moto wa kupambana na mafisadi ni kama umezimika baada ya kuambiwa mahakama ya mafisadi imekosa kesi, tumerudi palepale.

Wakati anaingia alikuta TRA inakusanya bn 900 hadi tn1, yakaongezeka hadi tn1.5 leo yamerudi kule kule bn 900 sijui ya Nov inawezekana yameshuka zaidi.

Spidi ya kubomoa nyumba zilizojengwa mabondeni na kinyume cha sheria ulianza kwa mkwara ukapiga breki kwa mama Lwakatare, leo tumerudi kule kule.

Machinga ni vurugu mechi, ondoa rudisha ondoa, tatizo halijatatuliwa limebaki palepale.

Tumbua tengua teua mwisho tumeishia kuteua walewale tuliowatumbua hatuja solve kitu tumerudi kule kule.

Mikopo ya wanafunzi sio tu tumerudi tulipokuwa yaani square one bali hata uwezo wa serikali kulipa umepungua kulinganisha na serikali iliyopita.

Serikali imeshindwa hata kuajiri na kupandisha madaraja watumishi wake, ni kama tumerudi square one.

Alipoingia alizuia safari za nje akazuia sikukuu za kitaifa, leo watumishi wanasafiri kama kawaida na juzi tumesherehekea sikukuu ya Uhuru aliyoikataa mwaka jana, mambo yamekuwa business as usual.

Mapigano kati ya wakulima na wafugaji ni kama ndiyo yamezidi, pamoja na ahadi ya serikali yake kutatua kadhia hiyo ni kama tumerudi kule kule.

Kuna mengi ambayo alidhani rahisi kuyafanya yameanza kumshinda mfano, sukari ya Bharesa, pembe za ndovu, madawa ya kulevya, majangili. Nina uhakika anaweza kumaliza muda wake akayacha kama alivyoyakuta.

Naomba kutoa hoja.

Quinine.
Heri nduguyangu yangerudi kama zamani tungepata auweni tatizo yamerudi enzi ya wakoloni
 
Wanafiki waseme SIO wanaoafiki waseme NDIO
 
Dereva hajui ubovu wa njia anayotupitisha, abiria tukisema hataki kusikiliza. Tuombe Mungu tufike nae salama maana kama ni ajali itakuwa na athari kwa wote.

KADA
 
Naunga mkono hoja,,yaan tumerud kulekule enz za mkwere na kupitiliza
 
Mahakama ya mafisadi itafanyaje kazi wakati vibaka wote mmenyooka? Thats the whole point....unapaswa kulalamika ikiwa ufisadi unaendelea huku watuhumiwa hawafikishwi mahakamani
Lugumi

Faru john

Faru hadija

Faru elizabeth

Mgao wa bil 2.7 bungeni

Ulaji wa rambirambi kagera
 
Back
Top Bottom