Status
Not open for further replies.
Nyerere aliacha Wosia, Mkapa aliacha kitabu na Magufuli ameacha makaburi...... RIP Azory Gwanda RIP Ben Saanane
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fz-p3-static.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Fte%2F1%2F16%2F1f622.png&hash=2c915439f1fca93c03a097440b7c8b75" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />

My bro alikatwa katwa na mapanga na ubongo ukachuruzika mithili ya supu nzito ya nguruwe kisa tu ni diwani wa chadema.

Lala Dikteta magufuli, Usiamke tena
Unakuta mtu ana laana za ukoo, laana shuleni aloko soma, laaana za mtaani anakoishi, laana za wengi aliowah kukutana nao maishani kwake.

Kwa kifupi kwake laana zimekosa pa kukaa zinapuyanga kama misukule.

Watu wa aina hiyo hawahitaj laana tena na sio vigumu kuwajua hata huku mitandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mashindano ya uwakilishi wa kilio??
Sidhani kama kutakuwa na assessment baada ya hapa, nani mkoa wake ulilia vyema!

Ndaagaah! Ndaagaah!

Everyday is Saturday............................. :cool:
 
HUWAJUI WATU WA MBEYA WEWE. WATU WA MBEYA WAKIFIKA MSIBANI WANAWEZA KULIA SIKU NZIMA HALAFU BAADAYE NDIO WANAULIZA NANI KAFA.

MIMI NAIJUA MBEYA KUANZIA Iganzo, Ikuti, Uyole, Iwambi, Isanga, Kabwe, Airport ya zamani, Kalobe, Iyunga, Ifisi n.k

HAO WATU NI WASANII SANA.
 
Daaah
 
Mabibi na mabwana hii clip inajieleza yenyewe:

View attachment 1729841

Mkuu wa wilaya kushindwa kujizuia? Watu kushindwa kulala?

Kwa hakika tumepatwa msiba mzito.

Ya Mbeya yanajieleza waziwazi. Niongeze nini zaidi?

Poleni wana Mbeya. Poleni wana Chatto. Poleni watanzania.

Kalale pema peponi JPM.

Daima tutakukumbuka.
Huyu mkuu si ndo alikuwa anasema jiwe ni mzima wakati anaaumwa????

Akatuonyesha na karatasi alizosaini jiwe??

Yaani hii mijitu sijui laana ya damu ya lisu inawatafuna??? Bora angekaa kimya kuliko uongo ule.

Wanahitaji zindiko kuu tuu hawa.
 
HUWAJUI WATU WA MBEYA WEWE. WATU WA MBEYA WAKIFIKA MSIBANI WANAWEZA KULIA SIKU NZIMA HALAFU BAADAYE NDIO WANAULIZA NANI KAFA.

MIMI NAIJUA MBEYA KUANZIA Iganzo, Ikuti, Uyole, Iwambi, Isanga, Kabwe, Airport ya zamani, Kalobe, Iyunga, Ifisi n.k

HAO WATU NI WASANII SANA.
Umenena mkuu, umesahau Mama joni
 
Akili zako zinakutuma Magu ndo alikuwa mungu wa Tanzania?

Acheni uchawi, hatima ya watanzania iko mikononi mwa watanzania. Ujinga wetu ndio ulitufikisha hapa tukiamini Magu ndo alikuwa chaguo la Mungu...

Magu kaondoka Tanzania iko palepale, watanzania wako palepale...
Ndugu yangu. Elewa kwamba akili ziko tofauti. Kiufupi kila mtu ana kalama yake.

Usione vile unajua kuandika na kusoma ukadhani wewe ungepewa nchi ungefanya haya yaliyofanywa na JPM.
 
Nadhani hujui majukumu ya TISS. kazi yao si kuzuia kifo, ni ku provide ulinzi wa taifa.
kifo kikija there is no escape.. not even TISS wanaweza kuzuia
Mfano viongozi wanapoendelea kutochukua tahadhari dhidi ya Corona, ambao matokeo yao yanaweza kuwa kifo, hawawezi kuzuiwa?
 
Kwa heri Magufuli uliingia mvua zinanyesha ndani ya Utawala wako mvua zilinyesha za kutosha panapo msimu unaondoka mvua hazionyeshi japo ni msimu kinabii sijui uhashiria nn hii. Mida hii ukanda wa pwani mvua huwa tele.
 
Kwa heri Magufuli uliingia mvua zinanyesha ndani ya Utawala wako mvua zilinyesha za kutosha panapo msimu unaondoka mvua hazionyeshi japo ni msimu kinabii sijui uhashiria nn hii.Mida hii ukanda wa pwani mvua huwa tele.
Unataka kusemaje? Majira yanabadilika, msihusishe kila kitu na siasa. Mwaka jana mwezi huu kulikuwa na mvua... Mwaka juzi kulikuwa na jua. Arusha juzi kuamkia jana kuna maeneo mvua ilipiga vizuri tu na kwingine rasha rasha.
 
mfano viongozi wanapoendelea kutochukua tahadhari dhidi ya Corona,ambao matokeo yao yanaweza kuwa kifo,hawawezi kuzuiwa?
Well they cant especialy wao ni askati so they follow orders. Wanaweza kumuelezea kiongozi kuwa kuna hatari fulani.. lakin kama kiongozi hataki, or kiongozi anaona sio hatari. watamuacha afanye anavyojua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom