Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

Kila mmoja anaangalia afya yake na kujikinga na maambukizi
Mbona wabunge wa nchi zingine wamejitenga na kuhudhuria Bunge kwa Skype na kazi zinaendelea kama kawa
Mimi sio mshabiki wa Vyama ila inawezekana kabisa hata Rais amekaa mbali na kumuapisha MN



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
mbn mnazunguka sana wazee? toen jibu tu ikiwa ni sawa raisi kumuagiza spika afanye maamuzi flani na km ni sawa je pia naweza kuiagIza mahakama ifanye maamuzi flani maana nao ni mhimili km bunge
Nani kazunguka? katiba imekuambia nchi iko na wakuu wa nchi wangapi? basi kama ni mmoja anao huo uwezo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingependeza kama speaker wa bunge amjibu rais kama alivyofanya speaker wa Uganda juzi kwa rais Museven ili kuonesha nguvu ya bunge kama mhimili unaojitegemea na wenye maamuzi yake so rais auheshimu.
Mkuu, Bunge na Mahakama vimewekwa mfukoni. Spika hana ubavu wa kujibu chochote, bali kutekeleza MAAGIZO tu.
 
CAG alishasema "bunge dhaifu"
 
Kama ni automatic, basi Lissu asinge dai posho zake wakati alijua hakuwepo bungeni! Vitu vingine don't just assume.
Tofautisha Posho na mshahara,posho ni sitting allowance inalipwa kwa wahudhuriaji tu ikiwa ni gharama ya chakula malazi usafiri nk.Tafuta kanuni za bunge sisemi assumptions hapa
 
Rudia kusoma ulichoandika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekwambia kuwa kwa nchi yoyote inayojidai kuwa ina utawala bora, ni lazima pawepo na "separation of power" katika mihimili 3 mikuu, katika kile kinachoitwa "check and balance"
Mkuu sijui umenielewa lakini naposema hea of state and government.

Rais ndiye bosi wa mihimili yote mitatu.

Nadhani pia umesahau kuwa ana mamlaka ya kulivunja Bunge na kuitisha uchaguzi.
 
Sasa unasemaje Mimi nimiosea kwa kijumlisha wananchi, wakati huo wewe pia ukiniunga mkono kwa mawazo yangu??
Unakuwa hauko rational una lazimisha kitu .umeongea point haihitaji attachment.ndo yale ya wabunge wananchi wamenituma Mara sisi watu wa mtwara etc
 
Tunaambiwa mihimili mitatu, na hiko sawa yaani Dola, Bunge na mahakama, je ni haki mwimili wa Dola kutoa maagizo "direction" hasa kwenye haki na maslahi ya wabunge, kama wasilipwe posho! Naamini Bunge kwenye kamati ya uongozi au nidhamu wangelikaa na kushughulika na jambo hili, uenda wangeona namna bora zaidi ya kulishughulikia bila ya kuleta maswali kwenye jamii juu ya namna mihimili inavyoingiliana!
 
Mihimili inaweza kuwa sawa outwardly lakini inwardly kuna mmoja umejichimbia zaidi.
Sasa ndio tunajua upi umejichimbia zaidi aiseh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…