Asante Kaizer ila tu usinikaribishe kilichopo kny avatar yako:smile-big:
hahahaaa, its all about perceptionhahaha kama hujagraduate utajikuta kwenye mazingira hayo lakini ukifata katiba yetu wala......:becky: (halafu inabidi usiwe mwepesi wa kurushia watu mawe huku upo kwenye nyumba ya vioo, )
To me its not forgivable at all. Nikipata ushaidi tu juu ya cheating hiyo tu hata aombe msamaha vipi siwezi kumsamehe.
Akiamua ku cheat siyo mtu mzuri huyo na wala hawezi acha kamwe. Alafu siku hizi kuna magonjwa tele hivo kusamehe ktk hilo ni kuendekeza pasipo na sababu ya msingi.
Haileti maana kusema nasamehe ila sitasahau.... I will show her/him an exit door immediately!
why not?[/QUOTE]
Kuna jamaa alikwenda kufanya research pale Dar baada ya kusikia kuwa waTZ wakiulizwa swali badala ya kujibu nao huuliza swali.Alipofika tu airport mtu wa kwanza kumuuliza ilikuwa hivi
Researcher:Nasikia watanzania ukiwauliza swali nao wanakujibu kwa swali badala ya kukujibu.
Mtanzania:Kwani wewe nani kakwambia hivyo?
Moja kwa moja jamaa huyo akaconclude kuwa ni kweli wa TZ tukiulizwa swali hatujibu moja kwa moja badala yake nasi huuliza swali.
What counts as cheating? A sexual relationship? A shared kiss? Flirting? What about "emotional affairs?" Would you date someone if you knew they cheated on their previous partners?
Would you date someone if you knew they cheated on their previous partners?
yes u can date him ....... by lukng to da reasons behind for that action bt km ilikuwa swaga za paka mapepe sidhan km utamdate cz utajua aftr time he wl do the same 2u as well
kinachomata panapo cheting ni yale mafikirio ya kudanganywa ndo yanauma zaidi manake kama alikujaza uaminifu wa kumuamini ur da only one ,u have oll he wants ,ur full container ,ur africa continent thats each n every crucial n precious stafffs zipo tena tele afu eti unakuta eti izo nyimbo anamwimbia mtu mwingine kwakweli lazima udate.............kingine kinachoboa ni UKIWAZA ZILE SWAGA ZA PALE KATI KATI KWA FUNDI SEREMALA ......ahh yani maswaswa anayagawa nje?asi yataisha?sa mintapata wap tena?apo sasa ndo uchungu wa kuchitiwa unapamba moto
ayo maradhi sjui family itakuwaje sjui umenidhalilisha yanakuja badaye kdg aftr SELFISH ACT OF THNKING ........... kwanini umepeleka nje mali yangui imetake place!!!!!!!!!!!
we finest wew tokazako uko chakunilisha chapat na value mtoto wa mwanaume mwenzako nini?unataka niweje labda? nishbe nilewe?
chitaki mie ........mie ataka jojo na uji wa uledhi...........!!!!!!!!!!!!!
kwani bado upo bar?au job?msalimie royaroy mwambie amchinje jogoo wake amfanye supu!!!!!!!!!
we finest wew tokazako uko chakunilisha chapat na value mtoto wa mwanaume mwenzako nini?unataka niweje labda? nishbe nilewe?
chitaki mie ........mie ataka jojo na uji wa uledhi...........!!!!!!!!!!!!!
kwani bado upo bar?au job?msalimie royaroy mwambie amchinje jogoo wake amfanye supu!!!!!!!!!
hahahaahh!!!hahah!!!!!!!!!maneno ndo hayo ayo baba wala hauitaj kuvaa KIVUTAMANENO🙂glasses-nerdy🙂!!!!!!11
CHEK AVATAR YAke uyu ndo utajua amemweka jogooo mwekundu km jogoo wa noeli!!!!!!!!!!!!!
poa basi ngoja nimalize kujifungua apa naja..akikisha kuna machoz ya simba lt 1 plesssssss !!!!!!!!!!
jogoo uyu wa aduni
si jogoo aliyekukabidh mungu!!!!!:becky: