Raha ya Ubazazi/Cheating!... (?)

Unajua kwenye mapenzi na upendo hakuna atakayekushauri wewe deep down ndio unajua kiasi gani unapenda..., lakini tatizo mtu mwingine anapoona upendo wako kwake upo deep anatake advantage na anatake your love for granted

Kwahiyo hakuna faida ya kukaa na mtu kama hauna raha na anakupa karaha.., ni bora uwe single na ujijengee maisha yako peke yako sababu huo ni mzigo and he will affect you mentally na sababu ya kukosa raha hata physically utakuwa affected..,

Kama kweli anafanya yote hayo hapo juu achana nae hata kama unampenda..., time is the best healer.., with time utamsahau, Pia probably unakosa opportunities za kupata mwingine sababu watu wanajua upo involved.., lakini utakaporudi kuwa single hopefully utapata someone you deserve

Unayoyasema ni kweli.

Nadhani si lazima kuanza mahusiano baada ya mahusiano ya kwanza kukushinda, na pia inakuwa ngumu kama mwanamke tayari yuko beyond 40s.

Je kuamua kuendelea kuishi nyumba moja na huyo cheaters kwa ajili ya watoto, I mean watoto wapate malezi ya baba na mama, inaweza kuwork? Yaani kuendelea kuishi under the same roof ila kila mtu awe na time yake, hakuna kuulizana ulikuwa wapi, una mpango gani, ulilala wapi, huyo unayeongea nae kwenye simu ni nani etc, is this practical?
 
Unayoyasema ni kweli.

Nadhani si lazima kuanza mahusiano baada ya mahusiano ya kwanza kukushinda, na pia inakuwa ngumu kama mwanamke tayari yuko beyond 40s.

Je kuamua kuendelea kuishi nyumba moja na huyo cheaters kwa ajili ya watoto, I mean watoto wapate malezi ya baba na mama, inaweza kuwork? Yaani kuendelea kuishi under the same roof ila kila mtu awe na time yake, hakuna kuulizana ulikuwa wapi, una mpango gani, ulilala wapi, huyo unayeongea nae kwenye simu ni nani etc, is this practical?

Kwanza sio kweli kwamba huwezi kupata mwenza sababu upo 40 unaweza kupata mtu rafiki wa karibu ila unamwambia ukweli kwamba unao watoto maisha yako na hutaki kuanza familia nyingine kwahiyo mnakuwa marafiki wa karibu bila strings wala kulazimishana kufunga ndoa.

Hilo la kukaa nyumba moja na mtu ambae mna visa nae sababu ya watoto sio practical, badala ya kuwasaidia watoto mnaweza mkawa mnawapa shida zaidi sababu ya ugomvi wenu wa kila siku na kuvunjiana heshima. (watoto hawatapata malezi ya wazazi tena bali watakuwa kati kati ya vita vyenu) lakini hapa siwezi nikajua probably nyie ugomvi wenu mnaweza kuufanya mbali na watoto wasijue (which I doubt)

Kwa hiyo kama una kazi yako (na unaweza ukalea watoto) tafuta lawyer mzuri muandae divorce na kugawana mali. Please Please Please msitumie watoto wenu kama silaha mtoto ana haki ya kumpenda baba na mama.., kwahiyo mnaweza mkawa mnakaa tofauti ila baba ruksa kuwatembelea watoto au watoto ruksa kumtembelea baba.

Mwenye jibu kamili ni wewe mwenyewe sababu unajua situation ndani ya nyumba, lakini ninavyojua love ni passion na ugomvi wa passion ni vigumu kufanyika ndani ya nyumba bila kuwa-affect watoto. Na ugomvi huu utakuaffect wewe na watoto kwa kuona mama yao hana raha ambayo itapelekea watoto kujenga hatred kwa baba yao
 
Hivi kwanini wanawake siku zote wanadai kuwa wao ni waaminifu sana katika ndoa! Kama wangekuwa waaminifu kihivyo, mbona tunasikia kila siku huyu mama kazaa na fulani, mara huyu anatembea na huyu. Isitoshe si mara nyingi utamtongoza mwanamke wa mtu akatae hasa kama yuko mbali na mme wake eg. kwenye semina au mikutano! So uaminifu ni suala la mtu binafsi siyo gender!
Ninavyojua mimi, unaminifu wa wanawake ni ule uwezo wao mkubwa wa kuficha infidelity yao. Yaani mwanaume hadi unakufa hutaona dalili yoyote kuwa mkeo anakusaliti na hutojua kabisa kama watoto ulionao si wako biologically.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom