Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,745
- 7,773
...Hivi, kwa ufahamu wako,
...nini ushawishi unaomkumba mtu mpaka unampelekea kuisaliti ndoa yake/mpenzi wake? Je, ni ule 'utamu' wa kuibia?, au ni kutafuta'faraja' kwa kujiliwaza?
je, Inawezekana ubazazi/cheating ni sababu ya kutokutosheka, au 'kukinai' unachokipata?
Je, Inawezekana wale 'wasobahatika' ubazazi/kucheat ni sababu tu ya kukosa 'opportunity'?
Ishara gani utazogundua za m'bazazi/Cheater?
Wikiendi njema!