Raha ya Ubazazi/Cheating!... (?)

Raha ya Ubazazi/Cheating!... (?)

hahahahahah! hahahah token nyinyi nan atake nin?
silagi jogoo mie na wala smtak......mie napenda phonex za gym tu bas ayo majogoo yenu nooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!
na wewe finest uache umbea utasutwa !!!!!!!!!!!
 
Mama yako ameniambia ulianza kula jogoo ukiwa na miaka 13
 
hahahahahah! hahahah token nyinyi nan atake nin?
silagi jogoo mie na wala smtak......mie napenda phonex za gym tu bas ayo majogoo yenu nooooooooooooooooooooooooooooo!!!!!!!!!!
na wewe finest uache umbea utasutwa !!!!!!!!!!!

Supu ya jogoo ni tamu sana Rose1980.....ina nutrients kibao....ukiiacha ikipoa huwa inaganda inakua nzito nzito....:glasses-nerdy:
 
mmh mungu wangu!!!!!!!!
mungu awasidie na nuru ya kichwani awaangazie
mna matatizo nyinyi stak jogoo wala bata nshawaambia ahh!!!!!!
jion mpitie st josef mkatubu kidg manake dah......
 
Katika scenaio hizi:

1. Kushuhudia asali wa wa moyo akiwa amelala na mwanamke mwingine, wote wakiwa uchi; je hiyo ndio cheating? (bila kushuhudia wakifanya tendo la ndoa)

2. Kushuhudia asali wa moyo akiwa bar meza moja na mwanamke mwingine wanakunywa bia na nyama choma; je hiyo ni cheating?

3. Kushuhudia flirting text msg kwenye simu ya asali wa moyo, bila kujua ana flirt na mwanaume au mwanamke; je hiyo ndio cheating?

4. Kumsikia asali wa moyo anaongea kwa upole maneno ya mapenzi kwenye simu, bila kujua kuwa anayeongea nae ni mwanake au mwanaume, je hiyo nayo ni cheating?

5. Kuambiwa na marafiki zake asali wa moyo kuwa ana mahusiano ya kimapenzi na mwanamke aliyekuwa anakunywa nae bar, hii moja kwa moja ni cheating?

How can someone explicitly define cheating?

Na je kama asali wa moyo anahusika na vitendo utadhani anacheat, and what should be the way forward katika uhusiano huo wa kimapenzi?

Naombeni mawazo yenu wapendwa katika JF.
 
nawe unapenda mambo ya kukuondolea raha karne hii sielewi kwanini
 
Chauro, najua haya mambo yanaondoa raha, lakini yapo kwenye mahusiano yameshikamana kama ngozi na mwili.
 
Kulamba Asali ndio mwisho wa kuchonga mzinga...,

There is no Smoke without Fire
 
Cheating ni pale unapofanya kitu ambacho:

1. we ukifanyiwa inauma
2. unakificha kwa unayempenda kwa makusudi
 
kwa hiyo kila kitu ulichokitaja hapo juu ni kucheat kama we ukifanyiwa inauma, au aliyekuwa anafanya alitumia jitihada za ziada kuakikisha mpenziye hajui.
 
chaeting can be anyhow... hata kusema uongo tu bila tendo lolote, ni cheating, maana yake ni kupoteza uaminifu:A S 20:
 
Asanteni kwa kuchangia mawazo.

Je ukigundua mwenza anafanya, au alishafanya moja au yote katika hayo, divorce is inevitable, right?
 
Asanteni kwa kuchangia mawazo.

Je ukigundua mwenza anafanya, au alishafanya moja au yote katika hayo, divorce is inevitable, right?
Not Necessarily its your Choice..

By the way hilo la kula kito moto na mtu anaweza kufanya na isiwe cheating..., lakini wewe ulivyowakuta kitandani wakiwa uchi ulidhani walikuwa wanafanya nini?, Wanatambikia ?, Wanafundishana Biology ?, au joto limizidi wanapumzika ili wasitoke jasho?
 
hahahaaa, labda kuliwazana tu mmoja wakiwa anaumwa kichwa, you know. Hakuna ushahidi kwamba wame do, hakuna chipi wala kondom iliyoonekana inazagaa, kwa kifupi hakuna ushahidi beyond resonable doubt kwamba walikuwa nafanya mapenzi, wanatambikia au kufundishana biology.

Voiceofreason, je kama divorce siyo option, option ni nini pale ambapo mapenzi yanakuwa yanadecelarate?
 
hahahaaa, labda kuliwazana tu mmoja wakiwa anaumwa kichwa, you know. Hakuna ushahidi kwamba wame do, hakuna chipi wala kondom iliyoonekana inazagaa, kwa kifupi hakuna ushahidi beyond resonable doubt kwamba walikuwa nafanya mapenzi, wanatambikia au kufundishana biology.

Voiceofreason, je kama dicorce siyo option, option ni nini pale ambapo mapenzi yanakuwa yanadecelarate?
Unajua kwenye mapenzi na upendo hakuna atakayekushauri wewe deep down ndio unajua kiasi gani unapenda..., lakini tatizo mtu mwingine anapoona upendo wako kwake upo deep anatake advantage na anatake your love for granted

Kwahiyo hakuna faida ya kukaa na mtu kama hauna raha na anakupa karaha.., ni bora uwe single na ujijengee maisha yako peke yako sababu huo ni mzigo and he will affect you mentally na sababu ya kukosa raha hata physically utakuwa affected..,

Kama kweli anafanya yote hayo hapo juu achana nae hata kama unampenda..., time is the best healer.., with time utamsahau, Pia probably unakosa opportunities za kupata mwingine sababu watu wanajua upo involved.., lakini utakaporudi kuwa single hopefully utapata someone you deserve
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom