miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Itabidi alete mrejesho hapa....
kabisa kabisa am waiting for him kwa kweli
Itabidi alete mrejesho hapa....
Mimi ntakaa kimya mkuu..nikupe nafasi ujieleze na yasiyohusika , nadhani ntajua nsiyoyajua.okey rafiki pole sana ila kwa mfano ukinitongoza naongea mwanzo mwisho najua utakimbia
Hapa hakuna cha gambwa wala gwanda!
Mimi ntakaa kimya mkuu..nikupe nafasi ujieleze na yasiyohusika , nadhani ntajua nsiyoyajua.
Ila huwa unaambiwa tu??
UNAKUMBUKA HII SIKU??
![]()
Imenikumbusha miaka ya 83
kutongozwa kunaraha yake afu ukute anaona aibu anashindwa kujieleza loh penda sana mimi.... mtu wa hivyo napenda akanitongozee sehemu ya vinywaji na si kwenye simu loh ... aaah hapo namzungusha hata mwezi loh
Baada ya mwezi unampatia?kutongozwa kunaraha yake afu ukute anaona aibu anashindwa kujieleza loh penda sana mimi.... mtu wa hivyo napenda akanitongozee sehemu ya vinywaji na si kwenye simu loh ... aaah hapo namzungusha hata mwezi loh
Akifa wewe si unavuta mkwanja unasepa?
Baada ya mwezi unampatia?