Raha ya kutongozwa...lol

Raha ya kutongozwa...lol

na mimi nikishavua nitakuonyesha tabia yangu ilivyo no more ma love davy fulll ubabe utajuta kukutana na mimi

Hahahaha, kuna demu nilimgongaga alafu nikajifanya kumpoteze, weeee, ilikua ni shidaaaa asikuambie mtu. Nilibadili namba ya simu lakini wapi. Ilibidi nimtafute nimpigie magoti nimuombe yaishe. Itakua ndo wewe nini?
 
ukome sasa yawezekana ni mimi
 
Uko sawa kabisa mrembo, inategemea kama kama yuko na gari au kwa miguu. Eh tiririka tupe nondo hizo.

anaweza akawa na gari na bado akakera, yani sijui nikwambiaje ila ndo ivo inategemea ntu na ntu
 
inaonyesha mwanaume akija kwako na ile mitongozo ya kizamani huchelewi kumbwatukia lol....

Sikubwatukii, nitakuomba uondoke kwa sababu utakuwa unanichefua. Mambo ya nitakufanyia hiki, nitakupeleka huku nayawezea wapi. Njoo na sera moja tu nataka......
 
Habari zenu wapendwa,........?

Lol...siku nyingi kweli sijatia timu jukwaa hili,

hata wadau wenzangu wa enzi zile siwaoni tena.....anyway!

Back to the topic,..........

Hivi dada zangu huwa mnaenjoy mkiwa mnatongozwa?

Ni kweli kuwa usipotongozwa kama wiki tu hivi wajisikia vibaya?

Najua kuna suala la umri hapa kwenye sanaa hii ya utongozwaji,

Lakini napenda tu nipate jibu la jumla,

Jamani huwa mnajisikiaje?

Asalaaam Aleikhum...........................

Inasemekana kuwa kuanzia mwezi januari hadi Juni wasichana na wanawake huwa katika hali ya kuzubaa hivyo ni rahisi kuombwa K na kuitoa. Hivyo wanaume huu ndo muda wenu kufanya utafiti huu kama ni wa kweli.
 
kutongozwa kunaraha yake afu ukute anaona aibu anashindwa kujieleza loh penda sana mimi.... mtu wa hivyo napenda akanitongozee sehemu ya vinywaji na si kwenye simu loh ... aaah hapo namzungusha hata mwezi loh
Kha upo mtu wangu,twa masiku.Kwangu ndo utachoka mie ntakutongoza kwa simu na PM tuu adi kieleweke ,tukifikia muafaka ndo natia timu taaatiibu nikiwa nimeshatundika dripu zangu za Serengeti kwa ajili ya kazi moja ..kdaaadeki
 
Habari zenu wapendwa,........?

Lol...siku nyingi kweli sijatia timu jukwaa hili,

hata wadau wenzangu wa enzi zile siwaoni tena.....anyway!

Back to the topic,..........

Hivi dada zangu huwa mnaenjoy mkiwa mnatongozwa?

Ni kweli kuwa usipotongozwa kama wiki tu hivi wajisikia vibaya?

Najua kuna suala la umri hapa kwenye sanaa hii ya utongozwaji,

Lakini napenda tu nipate jibu la jumla,

Jamani huwa mnajisikiaje?

Asalaaam Aleikhum...........................

Inategemea..ila hilo zoezi siku zote ni interesting maana wakaka wana mbinu balaa!
 
Kha upo mtu wangu,twa masiku.Kwangu ndo utachoka mie ntakutongoza kwa simu na PM tuu adi kieleweke ,tukifikia muafaka ndo natia timu taaatiibu nikiwa nimeshatundika dripu zangu za Serengeti kwa ajili ya kazi moja ..kdaaadeki

nitakutoanduki kama nimeona mwizi vile
 
Back
Top Bottom