Tyta
JF-Expert Member
- May 21, 2011
- 12,767
- 10,536
Hivi tuwe wakweli kabisa jamani, kuna kutongoza siku hizi? Maana zamani kumpata mwanamke ilikuwa ni mchakato wakati siku hizi ni kama kutuma hela kwa mpesa/tigopesa - fasta fasta. Asubuhi unapata number ya simu, jioni au kesho yake sita kwa sita. Kuna kutongoza hapo?