Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,269
Habari zenu wapendwa,........?
Lol...siku nyingi kweli sijatia timu jukwaa hili,
hata wadau wenzangu wa enzi zile siwaoni tena.....anyway!
Back to the topic,..........
Hivi dada zangu huwa mnaenjoy mkiwa mnatongozwa?
Ni kweli kuwa usipotongozwa kama wiki tu hivi wajisikia vibaya?
Najua kuna suala la umri hapa kwenye sanaa hii ya utongozwaji,
Lakini napenda tu nipate jibu la jumla,
Jamani huwa mnajisikiaje?
Asalaaam Aleikhum...........................
Mara ya mwisho kutongoza lini? Kutongoza ni ushanba uliokithiri. Siku hizi bila hata kusema mtu anaelewa.