Raha ya kutongozwa...lol

Raha ya kutongozwa...lol

Mi natafufa msichana humu humu jf kama yupo beautiful ani pm
 
Kweli mwanaume yuko tofauti na dem kabiiisa,wanaendeshwa na hisia yet they are living in the real world!..alafu wanalalamika wanaume wanashika kila sekta!...watu wanachoma akili kufkiria mambo ya msingi we unafkiria nkutongoze uskie raha...hahahahaha....WATU WENGINE BANA!
 
Black Kid....ina maana siku hizi ni kubeba tu na kwenda kumchapa nao,

hakuna kuremba....?

Mkuu bacha ndo maanake. Siku hizi unauliza tu, ndege itatua au matopee? Ukiambiwa itatua kazi kwisha mkuu.
 
Hodi jukwaani,jamani hapa mgeni lakini hii mada imenigusa. Sijatongoza siku nyingi ingawa nshakuwa mtu mzima bachelor,naomba anayetaka kunikumbusha kutongoza ani pm niko serious nimtongoze ila asinisumbue sana yule wa mwezi mzima anakuzungusha namuogopa atanipa presha. Haya nasubiri huku moyo ukinidunda
 
ok, sorry mkuu.
ila ni ule ukichaa mzuri unachekesha, me naupenda, nimesoma tu unavyo comment nikakupenda, si unajua kuna namna vile mtu anaandika hadi unampenda.
yes, namna iyo.
 
ndo ukweli usije lia lia na kunilamba miguu

lakin si unajua janja ya mwanaume? Ntajifanya mpoole na mwenye mapenz kweli lengo uvue tu. Sasa nikisha kuvua tu hahaa utaijua tabia yangu ilivyo....... Lazma ujute kuvua hahahaaa
 
lakin si unajua janja ya mwanaume? Ntajifanya mpoole na mwenye mapenz kweli lengo uvue tu. Sasa nikisha kuvua tu hahaa utaijua tabia yangu ilivyo....... Lazma ujute kuvua hahahaaa

na mimi nikishavua nitakuonyesha tabia yangu ilivyo no more ma love davy fulll ubabe utajuta kukutana na mimi
 
Back
Top Bottom