Raha ya kutongozwa...lol

Raha ya kutongozwa...lol

attachment.php

Ipad imeua akili za vijana wa sasa
 
Attachments

  • Zamani.jpg
    Zamani.jpg
    31.5 KB · Views: 1,234
kutongozwa kunaraha yake afu ukute anaona aibu anashindwa kujieleza loh penda sana mimi.... mtu wa hivyo napenda akanitongozee sehemu ya vinywaji na si kwenye simu loh ... aaah hapo namzungusha hata mwezi loh

mwezi unanizungusha!! Bado sijakata tamaa!!
 
kutongozwa kunaraha yake afu ukute anaona aibu anashindwa kujieleza loh penda sana mimi.... mtu wa hivyo napenda akanitongozee sehemu ya vinywaji na si kwenye simu loh ... aaah hapo namzungusha hata mwezi loh

aaa! Kuumbe bora umesema mapema hapa ni kukuagiza ukachukue chumba tu. Hakuna masuala ya kupoteza mda et nikutongoze
 
kama unataka kujua raha yake na wewe omba utongozwe
 
utam wa kutongozwa umepunguzwa na kasi ya wadada kuangalia mkwanja kwanza...

nyuso zao siku hizi ni kavuuuu,, hata umwambie dada nahitaji kupata dinner na wewe, yeye awaza kwanza atakwangua shs ngapi!
 
Kutongozwa ina raha yake hasa umpate mwanaume anayejua maneno ya kukusifia tna mengne ya uongo loo. utafurahi
Siku hizi hakuna tunambiana tuu
 
Kumbe hua wanatuchora.!?! Ndio mana nashangaa hawa mabinti wa siku hizi hawanga'ti kucha. Mtu unamtongoza anakuangalia.. Kha! Mpaka mistari inaruka..

hahahahahaha me ndo zangu hizo
 
Back
Top Bottom