Raha ya kutongozwa...lol

Raha ya kutongozwa...lol

Long way,ila awe anakupa space ya ku digest sio kila akikuona/akipiga simu ni kuulizia jibu tu mpaka unatamani kubadili njia/namba ya simu.
Ukiona kimya kingi anza tu kuniita shemeji maana jibu likiwa yes utaona tu dalili hata kama huliulizii daily!!!

Ha ha ha ukiona kimya kingi nianze tu kukuita shemeji daah
 
Hivi wapo mpaka leo wanaodai majibu kwa mademu!unakuta mpaka chumbani mtu anadai jibu lake......
 
Hivi tuwe wakweli kabisa jamani, kuna kutongoza siku hizi? Maana zamani kumpata mwanamke ilikuwa ni mchakato wakati siku hizi ni kama kutuma hela kwa mpesa/tigopesa - fasta fasta. Asubuhi unapata number ya simu, jioni au kesho yake sita kwa sita. Kuna kutongoza hapo?


kutongoza bado kupo,

labda cha msingi ni namna gani tongozo imerahisishwa.......,

technology imerahisisha zoezi zima la utongozaji,

lakini tongozo bado ipo.......
 
UNAKUMBUKA HII SIKU??
1507135_498133380296981_132449354_a.jpg

Dah!nakumbuka nilivyompata mama nanihi.
 
Mbona mimi huwa namaliza hata mwaka sijatongozwa na nipo comfortable tu
 
mmh, wengine cjui wamekariri yani kero, neno lile lile ataanza nalo, hakuna ufundi wa ziada, copy n paste anambwelambwela tu
 
Mkuu bacha umekumbuka nini? mara ya mwisho "ulitongoza" lini?

Huyu Tyta naye ni mtunza kumbukumbu wa "utongozaji"!!!
 
Last edited by a moderator:
kutongozwa kunaraha yake afu ukute anaona aibu anashindwa kujieleza loh penda sana mimi.... mtu wa hivyo napenda akanitongozee sehemu ya vinywaji na si kwenye simu loh ... aaah hapo namzungusha hata mwezi loh
ngoja nijipange kutengeneza hata aibu za kulazimisha alafu nije, nishagunduaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mie huwa natongozwa na huwa nafurahia kabisaaaa, tena kama na mi namuona analipalipa na mi huwa na flirt back lol!
 
Kutongoza ilikuwa Enzi bwana.Binti unakuja home likizo unapiga sound antenna hazikamati. Unarudi likizo nyingine hola. Miaka inasonga, unaandika barua kujibiwa tu ni bahati!!!! Aise ilikuwa kazi kama kuchimba almas vile. Eti leo hii kwa sms tu umepata kilaini!!
 
Mhhh siku hizi: "Una nafasi lini tuonane"...."Ah ni wewe tu. Niambie".
 
Mkuu bacha umekumbuka nini? mara ya mwisho "ulitongoza" lini?

Huyu Tyta naye ni mtunza kumbukumbu wa "utongozaji"!!!


Baba Enock......unajua nimekumbuka mbali sana jinsi nilivyompataga huyu shemejio,

sasa siku hizi ukileta swaga za miaka hiyo unaonekana wa ajabu sana kwa hawa dot.com,

si unajua tena, technology imeadvance.......,

na kimsingi unakuta wanawake ndo wanaotongoza siku hizi..............

Mzee mwenzangu Aspirin anajua hili......ngoja aje amalizie
 
Back
Top Bottom