bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 799
- Thread starter
- #161
Hivi wapo mpaka leo wanaodai majibu kwa mademu!unakuta mpaka chumbani mtu anadai jibu lake......
kaka umenikumbusha mbali sana.........
unajua tatizo ni kwamba, hawa wakina dada ndo wanaoanza kusema, kuwa ntakupa jibu........,
sasa jamaa lazima akomae kutaka kujua jibu lake limekaa vipi?amekubaliwa au vipi?
Ila sema inafurahisha sana,......kila muda jamaa akipiga simu ni kuuliza....""sasa jibu langu vipi mpenzi""?