Raha ya kutongozwa...lol

Raha ya kutongozwa...lol

Ktk suala la chumbani Sasa uvivu unatakiwa kuweka pembeni, unatakiwa Kuwa creative, kumsoma mwenzio na kumshambulia ipasavyo hadi awe hoi, ukileta uvivu au kinyaa mbona utasaidiwa sana hapa mjini.

Si unaona jinsi vijana wanalia lia kila Siku hapa wanasaidiwa chezea huduma wewe,
Mtu anataka mtanange hadi aombe poo yeye analeta uvivu
 
Si unaona jinsi vijana wanalia lia kila Siku hapa wanasaidiwa chezea huduma wewe,
Mtu anataka mtanange hadi aombe poo yeye analeta uvivu

Hapa mjini ukileta uvivu kweli kula ukionana na demu wako simu itakuwa ina vibrate kwenye hand bag to, ukilala nae inazimwa kabisa haipatikani, ukiachana nae dakika 5 uko hewani ila busy.
 
Wanaume wako wapi watongozaji?? Hadi ning' ate vidole, nikatekate majani, nisugue na miguu chini kwa jicho LA aibu, barua za kuchora hadi moyo, ukinywa maji unaniona....
Now day simple wassap, badoo, fb mnachat Mara tuonane Mara guest ushavuliwa bila kutongozwa
Mda wa kutongoza upo wap??

hari ww umekuwa mkweli. Sku hiz wanaume hatuna muda wa kupoteza kaz ni kuchukua namba na kuagizana gest tu..................
 
yani uongo mtupu unatongoza mwanamke ana mapengo halafu unamwambia nimependa uo mwanya wako.
dah kama mimi demu apo sikubali ng'o
 
hari ww umekuwa mkweli. Sku hiz wanaume hatuna muda wa kupoteza kaz ni kuchukua namba na kuagizana gest tu..................

Ha ha ha kwann hamtupi swaga daa unajua tunamiss hii mambo
Ila bora tusipotezea muda kwa maana mapenz yenyew hayadumu
 
hivi kuna kutongozana sikuhizi..

Hakuna ila wao ndio wanao tutongoza hasa tukiwa tunatokea CRDB,NBC,AZANIA na mitaa mingine inayofanana na hiyo hapo huwa tunagandwa kama kupe kamdandia ng'ombe.
 
Ha ha ha kwann hamtupi swaga daa unajua tunamiss hii mambo
Ila bora tusipotezea muda kwa maana mapenz yenyew hayadumu

sasa yann nihangaike kukupa swaga wakat natambua unakuwa wangu tukiwa kitandan tu. Lakin ukitoka geto kwangu tayar unaanza kumuwaza mwingne?? Hapa ni mwendo kama dayworker
 
Hakuna ila wao ndio wanao tutongoza hasa tukiwa tunatokea CRDB,NBC,AZANIA na mitaa mingine inayofanana na hiyo hapo huwa tunagandwa kama kupe kamdandia ng'ombe.
Kimbia kama kweli nawe hutaki
 
Back
Top Bottom