Ila dada alikuwa anaongea matusi ya kuudhi na kudhalilisha viongozi sana. Hata kama alikuwa anajitambulisha kama mpinzani, aliyokuwa anaufanya sio upinzani, ni jinai na udhalilishaji.
Hakuna haja ya kutumia nguvu kupita kiasi, ashughulikiwe tu kwa mujibu wa sheria zetu inatosha. Atakuwa amepata haki yake na litakuwa fundisho kwa wengine.
Matusi yanawauma kuliko mauaji, utekaji, ufiraji unaofanywa na vyombo vya CCM?