Rachel Dangwa yuko 'kwenye Mikono Salama'

Rachel Dangwa yuko 'kwenye Mikono Salama'

Rasmi yule dada anayetukana matusi Rasmi yuko kwenye mikono Salama taangu tarehe 30/07/2026 soon atapandishwa kujibu Yanayomkabili au anaweza asionekane kabisa Save huu Uzi serikali ina mkono mrefu.
Duh,
Nikajua mlimteka?
Kumbe nyie vigagula mkituma majini makata mnasema mikono salama??
 
Mnaishi kwa Ndoto eti?!Unawajua Japan vizuri wewe?!

Majuzi hapa wamemkamata Mhalifu kwa kutumia Makachero wa Tasnia ya habari ndani ya Taifa jingine..tena kubwa.

Na wanalalamikuwa mno kwa hilo
 
Mnaishi kwa Ndoto eti?!Unawajua Japan vizuri wewe?!

Majuzi hapa wamemkamata Mhalifu kwa kutumia Makachero wa Tasnia ya habari ndani ya Taifa jingine..tena kubwa.

Na wanalalamikuwa mno kwa hilo
Sure, Japan ni nchi pili ya duniani kuwa na passport ambayo ni powerful zaidi..

Wameshuka kutoka namba moja hapo 2024, toka 2018 walikuwa wanaongoza kama nchi yenye powerful passport, ukiwa na passport ya Japan unasafiri nchi zaidi ya 190 duniani kwa visa free au visa on arrival ama mfumo wa kisasa wa kidijitali eTA ambao ni haraka zaidi...

Kwenda Japan kufanya ujinga wa kuteka mtu, ni kuchafua reputation yao, lazima wata deal na mhusika vilivyo, maana kilichopelekea wao kuwa na powerful passport moja wapo ni masuala ya uhalifu kuwa chini sana....
 
Back
Top Bottom