Prophet IPM anahubiri injili gani?

Prophet IPM anahubiri injili gani?

Wanaume bana.
Huyu IPM anaweza akawa sio mtumishi wa Mungu na ingependeza sana kama angejiita mwalimu. Lakini anayoongea mengi yana make sense ni vile tu wanaume siku zote ni vichwa ngumu.
 
Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo

Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka

1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi

2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo

3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike

4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio

5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji

6. Hivi kweli mwanaume rijali unashona sare unaenda kufundishwa jinsi ya kuishi na mkeo?
Yaani mwanaume unaenda kuambiwa mara ooh usikubali kulala ukutani, mara piga shoo, mara mwanamke asikytawale.
Yaani ungese!

7. Nani alimwambia huyu anayejiita nabii kuwa katika ndoa Kuna ushindani na kuwa mwanaume anatafuta ushindi.
Ndoa ni jambo la asili ni bond ya upendo wala sio ubabe, kufoka, kuwa mkali hakukufanyi mwanaume uwe na heshima

8 nilimsikia mahala akihamasisha talaka katika ukristo 😂

Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Sasahivi ukiwa motivational speaker tu tayari umeukaribia unabii👁👁😂😂
 
Uanaume siku hizi validation yake iko hatiani,
Maana wahusika hawajiamini kabisa, Lol
 
Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo

Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka

1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi

2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo

3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike

4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio

5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji

6. Hivi kweli mwanaume rijali unashona sare unaenda kufundishwa jinsi ya kuishi na mkeo?
Yaani mwanaume unaenda kuambiwa mara ooh usikubali kulala ukutani, mara piga shoo, mara mwanamke asikytawale.
Yaani ungese!

7. Nani alimwambia huyu anayejiita nabii kuwa katika ndoa Kuna ushindani na kuwa mwanaume anatafuta ushindi.
Ndoa ni jambo la asili ni bond ya upendo wala sio ubabe, kufoka, kuwa mkali hakukufanyi mwanaume uwe na heshima

8 nilimsikia mahala akihamasisha talaka katika ukristo 😂

Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
sema AMina
 
Haya maisha ukijua kufanya mambo yako bila kuangalia fulani kafanya nini /kufuatilia maisha ya watu utaishi kwa amani sana bila mihemko yoyote.
Ukianza kufatilia mambo ya watu na kuanza kukosoa tambua wewe ndio tatizo.
 
Ila wee kuwakumbusha wenzio ndio unaweza?
Sasa utofauti kati yako na huyo mchungaji fake uko wapi?
Sorry sijasoma ID
Ni dhambi kubwa kwangu ku argue jambo lolote na wewe
Wewe niwakupuuza tu
 
Haya maisha ukijua kufanya mambo yako bila kuangalia fulani kafanya nini /kufuatilia maisha ya watu utaishi kwa amani sana bila mihemko yoyote.
Ukianza kufatilia mambo ya watu na kuanza kukosoa tambua wewe ndio tatizo.
Ongeza Sauti.
Umepiga kwenye mshono, 😂😂
 
Back
Top Bottom