Prophet IPM anahubiri injili gani?

Prophet IPM anahubiri injili gani?

Mm c nilikufungulia njia ya upigaji baada ya kusema ww ulimsaidia jamaa mambo ya uzazi mpaka mke wake akapata mimba, had watu wakaanza kukufuata pm.
Iliisha vp ile?
Dahh afu kwelii, huu mchongo sijui kwanini tuliuacha ukapotea, kuna mganga mmoja kaja na spidi humu atanibebea wateja wote yallaaa..🙆🏽‍♀️
 
Watu wanataka mijadala wajadili masuala ya uchumi,siasa,teknolojia
Huyu anatuletea mambo ya wanaume na wanawake kudinyana,umbeambea udaku

Ova
Hayo ndio mambo yenye pesa za harakaharaka!
 
Huko wanafunzwa jinsi ya kuwakwepa wanawake na kukwepa majukumu tu hawa manabii hawafai kwenye jamii ya leo wanawafunza vitu vya hovo mno
Uko sahihi! Badala wawafunze wokovu na mafunzo ya kibiblia, wanafunza kuombwa rukusa za kutoka! Na namna za mikunjo🤣
 
Nalala ukutani Wala sijawahi waza!

Nikihamia kwangu kitanda kirakua katikati ya chumba
 
Nalala ukutani Wala sijawahi waza!

Nikihamia kwangu kitanda kirakua katikati ya chumba
 
Unaona kuamini utapewa mabikira 72 ni akili??
Nenda kalete aya ya Quran inayosema hivyo katika uislamu
usilete vjihadithi vilivyotungwa na wayahudi na wagalatia

1775298077177.png
 
Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo

Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka

1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi

2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo

3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike

4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio

5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji

6. Hivi kweli mwanaume rijali unashona sare unaenda kufundishwa jinsi ya kuishi na mkeo?
Yaani mwanaume unaenda kuambiwa mara ooh usikubali kulala ukutani, mara piga shoo, mara mwanamke asikytawale.
Yaani ungese!

7. Nani alimwambia huyu anayejiita nabii kuwa katika ndoa Kuna ushindani na kuwa mwanaume anatafuta ushindi.
Ndoa ni jambo la asili ni bond ya upendo wala sio ubabe, kufoka, kuwa mkali hakukufanyi mwanaume uwe na heshima

8 nilimsikia mahala akihamasisha talaka katika ukristo 😂

Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Hakuna jipya chini ya jua. Shetani ataendelea kufyatua wa hivi kwa wingi kadiri atakavyo ili azidi kuwanasa wote wasioipenda KWELI YA KRISTO YESU ambayo kimsingi ni HAKI yake muhimu.
 
Mwanaume hafundishwi kuwa mwanaume.
Mwanaume anazaliwa hatengenezwi kwa semina na vikao
Kukaa nakuanza kufundishana uwanaume ni kudhalilisha uwanaume.
 
Ukiitwa kwenye fursa ujue wewe ndio fursa yenyewe,

Acha watu wajipigie hela za bure,Dunia ya leo haihitaji maguvu bali akili tu.
 
Back
Top Bottom