Prophet IPM anahubiri injili gani?

Prophet IPM anahubiri injili gani?

hiyo haijalishi we ni kobazi au muebrania, jamii nzima imekumbwa na hofu hiyo na wanavaa wote, sio waebrania hata kobazi wanavaa
Naona ndio umeamka
Tangu lini ukuwa muebrani, wewe ni mgalatia kamatia hapohapo
Hakuna muislamu huko maporini, na akiwepo yuko ki biashara, huo ni mkoa wenu walagalatia na labda hauna bando kuona mjengeo wote au? suluhisho la kupata pumbu zako zirudi wanasema unatakiwa umuone mchungaji na wamewataja majina hao wachungaji
 
Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo

Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka

1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi

2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo

3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike

4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio

5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji

6. Hivi kweli mwanaume rijali unashona sare unaenda kufundishwa jinsi ya kuishi na mkeo?
Yaani mwanaume unaenda kuambiwa mara ooh usikubali kulala ukutani, mara piga shoo, mara mwanamke asikytawale.
Yaani ungese!

7. Nani alimwambia huyu anayejiita nabii kuwa katika ndoa Kuna ushindani na kuwa mwanaume anatafuta ushindi.
Ndoa ni jambo la asili ni bond ya upendo wala sio ubabe, kufoka, kuwa mkali hakukufanyi mwanaume uwe na heshima

8 nilimsikia mahala akihamasisha talaka katika ukristo 😂

Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Anyway sijawahi kumuamini huyu kama prophet au kiongozi wa dini.
 
Mbona nyie humu huwa mnatuanzishia nyuzi kukicha? Acha wakajadili jinsi ya kuhandle wake zao bwanaa🤣

Wanaowaanzishia nyuzi humu nao hawana akili sawa tu na hao waliovalishwa sare kwenda kujadili petty issues.
 
3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
Kuna Mama mmoja amemjibu vizuri sana kwamba haya yote anayasema ni hisia zake na mkewe siyo uhalisia wa maisha ya wanaume na wanawake wengine wanaojitambua na kuyatambua maandiko
 
FB_IMG_1775290607140.jpg
 
Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo

Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka

1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi

2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo

3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike

4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio

5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji

6. Hivi kweli mwanaume rijali unashona sare unaenda kufundishwa jinsi ya kuishi na mkeo?
Yaani mwanaume unaenda kuambiwa mara ooh usikubali kulala ukutani, mara piga shoo, mara mwanamke asikytawale.
Yaani ungese!

7. Nani alimwambia huyu anayejiita nabii kuwa katika ndoa Kuna ushindani na kuwa mwanaume anatafuta ushindi.
Ndoa ni jambo la asili ni bond ya upendo wala sio ubabe, kufoka, kuwa mkali hakukufanyi mwanaume uwe na heshima

8 nilimsikia mahala akihamasisha talaka katika ukristo 😂

Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Huyu jamaa hata mimi niliishamshtukia,hakuna ukristo wowote anaoufundisha,nikikuta clip zake namchukuliaga kama content creator au mchekeshaji tu
 
Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo

Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka

1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi

2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo

3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike

4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio

5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji

6. Hivi kweli mwanaume rijali unashona sare unaenda kufundishwa jinsi ya kuishi na mkeo?
Yaani mwanaume unaenda kuambiwa mara ooh usikubali kulala ukutani, mara piga shoo, mara mwanamke asikytawale.
Yaani ungese!

7. Nani alimwambia huyu anayejiita nabii kuwa katika ndoa Kuna ushindani na kuwa mwanaume anatafuta ushindi.
Ndoa ni jambo la asili ni bond ya upendo wala sio ubabe, kufoka, kuwa mkali hakukufanyi mwanaume uwe na heshima

8 nilimsikia mahala akihamasisha talaka katika ukristo 😂

Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Kuna huyu wa kujiita nabii shilla yupo wapi kwa sasa hawa jamaa wana ujinga sana.
 
Napenda sana zile stori zake za kutoa kafara, waganga na kujiwekea kinga.

Nimegundua wengi wenu humu mnaokilalamikia kile kikao ni MASIKINI.

Mbona elfu 50 ni hela ndogo sana hadi ndo iwatoe mapovu kiasi hiki chote.

TAFUTENI PESA JAMANI
 
Una hoja
Wakristo tumekuwa Walpole mno hadi wameingia wavamizi kuharibu
Nchi ya Tanzania sasa hivi ni tatizo la mass ignorance. Hili tatizo halijajengwa siku moja. Lilianza kwa kuharibu elimu yetu na watu wakaanza kumaliza shule bila kuelimika. Era ya social media na urahisi wa kuanzisha vyombo vya habari na kuzisambaza ukafanya ujinga usambae na kuambukizwa kwa kasi. Ndiyo maana siku hizi, watu wenye hoja za maana hawana ufuasi bali watu wenye hoja za kitapeli.
 
Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo

Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka

1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi

2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo

3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike

4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio

5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji

6. Hivi kweli mwanaume rijali unashona sare unaenda kufundishwa jinsi ya kuishi na mkeo?
Yaani mwanaume unaenda kuambiwa mara ooh usikubali kulala ukutani, mara piga shoo, mara mwanamke asikytawale.
Yaani ungese!

7. Nani alimwambia huyu anayejiita nabii kuwa katika ndoa Kuna ushindani na kuwa mwanaume anatafuta ushindi.
Ndoa ni jambo la asili ni bond ya upendo wala sio ubabe, kufoka, kuwa mkali hakukufanyi mwanaume uwe na heshima

8 nilimsikia mahala akihamasisha talaka katika ukristo 😂

Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Yesu akisema Yale niliyoyasikia nakuyaona kwa Baba yangu yote nimewapeni kwahiyo Kila mtumishi anatoa Yale alio yaona nakupewa kwa Baba yake kwa hiyo kama humuelewi unapaswa kuacha tu kumfuata kwa sababu Ktk ulimwemgu Huu Kuna wababa wengi wengi ila Baba wa wote wenye mwili ni Mmoja naye ni Mimi Niko ambaye Niko.
 
Yesu aliacha bethlehem(mashariki ya kati) wanafunzi wake na imani ya Mungu mmoja na yeye ni mtume wake (Naenda kwa baba yangu ambaye ni baba yenu, Mungu wangu ambaye ni Mungu wenu). Paulo akamleta Italy mwanafunzi wa Yesu akiitwa Petro kwa hila, akamjengea kanisa kubwa na kuliita jina lake. Kisha wakatumia kanisa hilo kama muhuri wa kuandaa mipango ya kutuma wapelelezi wa rasilimali duniani wakiwaita wamisionari. MMwanzoni mwa 1600 ,Luther aliandaa waraka mrefu kuwakumbuka imani za manabii hazilengi hayo wanayofanya Italy na Ulaya. Sehemu kubwa ya Ujerumani akiwemo Mfalme wakamuunga mkono ,na sehemu kubwa ya Italy wakampinga ,wakisisitiza waendelee kunyonya watu kwa mgongo wa dini. Vikazuka vita kwa miaka 30(1618 hadi 1648). Vita kuisha wakakubaliana kila mtu afate imani yake,aidha ukristo wa Ulaya au wa mashariki ya kati.

Ukweli mchungu ni kwamba ,Wazungu waliojitolea kusafiri hadi mashariki ya kati kujifunza imani ya ukristo wa mwanzo kuanzia ibada hadi maisha , wameishia kuwa wafuasi pia wa uislam.

Na walioamua wabaki na ukristo wa Ulaya, wamebaki wanavumilia ibada kwa mujibu wa maono ya binadamu wenzao ,hapo ndo unamkuta IPM, Mwamposa na wenzao.Hakuna njia ya kuwakwepa ukibaki na version ya ukristo wa Ulaya.
 
Back
Top Bottom