Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,151
- 104,720
Mm namsapoti jamaa anachofanya.
Ameona vile baadhi ya wanaume walivyo Wapumbavu na unatumia fursa hiyo, anakwenda kutajirika kupitia huo upumbavu wao.
Hakuna jipya kwenye huo upumbavu unaoitwa kikao cha wanaume zaidi ya kwenda kujadili ngono tuu.