Cherecheche
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 4,780
- 9,148
Hii ndio demokrasia mnayoililia kila siku ilimradi mtu havunji sheria za nchi kila mtu afanye kinachompa furaha.
Mm ntakuja na kabodaboda Changu nije kupata abiria 😂Nyie wagumu hata naniliu zenu ngumu, hamtaki hiyo bag party? Next time waje mikoani tuwaone husband material mking’aa na suits zenu nyeusi,shati jeupe na tai nyekundu 🕺🏻
Mm c nilikufungulia njia ya upigaji baada ya kusema ww ulimsaidia jamaa mambo ya uzazi mpaka mke wake akapata mimba, had watu wakaanza kukufuata pm.Hebu tutafute project moja tukusanye wapumbavu tujipigie pesa na sisi..
Na hii ndio hasa idea ya huyo nabii, alifikiria hivi hivi. Akifanikiwa hapo atakuja na huku mikoani. Kmmk waliohudhuriaAsee ili ukilipigia malengo kwa mwaka ukawa na mikutano yako 10 au 5 kwa kiingilio cha 50k na ukawa na uhakika wa kuwadaka wanyantuzu 500 assee unaweza ipangia bajeti halmashauri yako
hiyo haijalishi we ni kobazi au muebrania, jamii nzima imekumbwa na hofu hiyo na wanavaa wote, sio waebrania hata kobazi wanavaaHaya tena wagalatia hamuishi vituko, wengine hawa wanavaa pini na rababendi ndio kinga ya kuzuia kupotezwa mapumbu
View attachment 3566911
Tupunguze ushauri.Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi
2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo
3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio
5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji
Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Huyu ana tofauto gani na kiboko ya wachawi? Wapumbavu kama hawa ndio wanasababisha ukristo utadharauliwe.Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi
2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo
3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio
5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji
Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
cha ajabu wanaume wamejazana kumsikiliza, niliwashanga wanaume wale kama wana akili timamu na hawana kazi za kufanya. Muda wa kwenda kumsikiliza huyu mmbaba wanaupata wapi?Watu wanataka mijadala wajadili masuala ya uchumi,siasa,teknolojia
Huyu anatuletea mambo ya wanaume na wanawake kudinyana,umbeambea udaku
Ova
Yaani mwanaume unashona sare ati unaenda kwenye kikao cha wanaume na mnaenda kuambiwa mambo ya kawaida mnocha ajabu wanaume wamejazana kumsikiliza, niliwashanga wanaume wale kama wana akili timamu na hawana kazi za kufanya. Muda wa kwenda kumsikiliza huyu mmbaba wanaupata wapi?
Nimecheka kwa nguvu hadi watu wamenishangaa,eti usikubali kulala ukutani"Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi
2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo
3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio
5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji
6. Hivi kweli mwanaume rijali unashona sare unaenda kufundishwa jinsi ya kuishi na mkeo?
Yaani mwanaume unaenda kuambiwa mara ooh usikubali kulala ukutani, mara piga shoo, mara mwanamke asikytawale.
Yaani ungese!
7. Nani alimwambia huyu anayejiita nabii kuwa katika ndoa Kuna ushindani na kuwa mwanaume anatafuta ushindi.
Ndoa ni jambo la asili ni bond ya upendo wala sio ubabe, kufoka, kuwa mkali hakukufanyi mwanaume uwe na heshima
8 nilimsikia mahala akihamasisha talaka katika ukristo 😂
Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884