Prophet IPM anahubiri injili gani?

Prophet IPM anahubiri injili gani?

Mimi hiyo 50000 ningepewa eti niende nalala nayo mbele naenda kununua vitu vya pasaka🤣😁
Nyinyi hamjamuelewa huyu mtu sio prophet km mnavyofikiri wakati huyu anaanza mimi nilichojua kuanzia mwanzo kabisa kua huyu ni Content Creator sio prophet au nabii mnavyoitaka ila huyu ni km yule mnamuita Chifu Godlove na wengine sampling km hio ila yeye amechagua niche ya dini ndimo anamotengenezea Content zake wengine wamechagua niche zingine zingine ila yeye aliusoma mchezo akaona ili apige hela basi apite na upepo wa dini hii hata Masanja aliiona na Uwoya nae akaiona sema hawakufanya kwa kiwango cha huyu mtu sasa shida ya kufanya niche km hii ni moja tu unapotoka ndani ya mstari ukaanza kwenda nje ya mstari km alivyoanza kufanya Chifu Mwantembe mnamuita Mzee wa Upako kipindi hicho alikua ndani ya mstari baadae akaanza kutoka nje ya mstari watu wakaanza kujiuliza maswali imewezekanaje?
 
Back
Top Bottom