Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 12,238
- 36,173
Ilikuwa jana walijazana sana🤣mifumo ya kutengeneza hela nyepesi, mahudhurio sjui yamesoma namba ngapi huko
Ilikuwa jana walijazana sana🤣mifumo ya kutengeneza hela nyepesi, mahudhurio sjui yamesoma namba ngapi huko
tra wakachukue kodiWalikuwa nyomi Mkuu jamaa kakusanya mkwanja wa kutosha. Mjini akili
next aandae ya kumlaani trump na vita isiyo na maana, pesa nje nje hiiIlikuwa jana walijazana sana🤣
🤣🤣🤣🤣Na walijaa kwelikweli😁
Hata ungekuwa wewe ungefanyaje? Penye wajinga wengi jipigie pesa!next aandae ya kumlaani trump na vita isiyo na maana, pesa nje nje hii
Hawa wahuni wa mjini wanajua kula na wakubwa, hapo alishaset kila kitutra wakachukue kodi
Ndio ushangae hapo! Walikuwa wengi na suti, mashati na tai nyekundu walinunua wenye kuazima hayaa..!!🤣🤣🤣🤣
Halafu wakija huku mitandaoni wanajifanya kuwasimanga wanawake.
Naam, ndio maana mimi huwa nawapongeza hao kina mwamposa na wafananao maana wametumia fursa ya ujinga wa watu na kukusanya pesa, uzuri hawachukui kinguvu mfukoni kwa mtu, ni mtu mwenyewe anazipeleka big up kwaoHata ungekuwa wewe ungefanyaje? Penye wajinga wengi jipigie pesa!
Na afuhamsini wakatoa🤣🤣🤣🤣Ndio ushangae hapo! Walikuwa wengi na suti, mashati na tai nyekundu walinunua wenye kuazima hayaa..!!
Mnapata wapi muda kufuatilia huu ujinga..Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi
2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo
3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio
5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji
Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Na ukiona mtu anawapinga vikali hawa ujue anaitamani hiyo nafasi ila kaikosa! Tunaishia kujenga chuki kama tumeibiwa pesa zetu ndani😁Naam, ndio maana mimi huwa nawapongeza hao kina mwamposa na wafananao maana wametumia fursa ya ujinga wa watu na kukusanya pesa, uzuri hawachukui kinguvu mfukoni kwa mtu, ni mtu mwenyewe anazipeleka big up kwao
Wanajifariji tu lakini wamerundikana wanaume shazi tu kwenye hizo kumbi🙌🏾Na afuhamsini wakatoa🤣🤣🤣🤣
Ila kiiila uchwao wanasema wanawake ndio wateja wa hao manabii🙆♂️🙆♂️
Wanaume wenzenu hao!👀Kinachoshangaza ni hao wafuasi wake, sijui unakuwa umerogwa?
Asee ili ukilipigia malengo kwa mwaka ukawa na mikutano yako 10 au 5 kwa kiingilio cha 50k na ukawa na uhakika wa kuwadaka wanyantuzu 500 assee unaweza ipangia bajeti halmashauri yakoHukuona Rose shaboka kashafanya? Kimeshapita siku nyingi..
Oyaa🫢Asee ili ukilipigia malengo kwa mwaka ukawa na mikutano yako 10 au 5 kwa kiingilio cha 50k na ukawa na uhakika wa kuwadaka wanyantuzu 500 assee unaweza ipangia bajeti halmashauri yako
Unamaana gani na hii kauli mkuuPesa zipo Kwa wajinga