Propaganda ya “Watanzania ni waoga, wanaandamana mitandaoni” imekufa rasmi

Propaganda ya “Watanzania ni waoga, wanaandamana mitandaoni” imekufa rasmi

Huna akili.
Watanzania waoga mno kufa.
MANGE ndiye alikuwa Kibwetele akawaambia kuwa Jeshi halimtaki mama hivyo linasubiri mtoke road kuchukua nchi yao.
Ile propaganda ilifanywa simple sana kwa kushirikiana Maaskofu
kadhaa . Mitandaoni kukasambazwa propaganda za video na sms za kubumba. Watu wakajaa.
Wakauliwa .
Ngoja nikuambie kitu, hilo jeshi ndo limeua sana Watanzania wakaidi ile 30-31.
Wananchi walipoona tofauti na waliyoambiwa na nabii wao wakarudi ndani. That's why wengine waliuliwa ndani kwao ila wote ni wale waliokimbilia ndani wakidhani serikali haina macho.
Cha ajabu mange anaandaa propaganda nyingine.
Kwa ufinyu wa ubongo wa Watanzania watamwamini.
Tarehe 10. December kitakuwa kilio kikuu.
Watu hawatoki kwa ajili ya Mange wewe malaya mbovu. Watu wanatoka kwa ajili ya kupambania rasimali zao ili jambazi abdul asiendelee kuziiba
 
Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga.

Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni', ilipofika saa 8 mchana moto ulipoanza kukolea sijawasikia tena.

Propaganda hiyo imekufa rasmi siisikii tena wamebaki kusema mali nyingi zimeteketea.

Nawakumbusha tu chawa wa mama na serikali yenyewe "Do not underestimate a quite guy". Wamesema 912 wanakuja tena kivingine, get prepared, au endeleeni kubeza mtavuna mabua.
Njooni tena mchezee risasi. Mbona mzigo wa shaba bado upo ghalani!!
 
Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga.

Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni', ilipofika saa 8 mchana moto ulipoanza kukolea sijawasikia tena.

Propaganda hiyo imekufa rasmi siisikii tena wamebaki kusema mali nyingi zimeteketea.

Nawakumbusha tu chawa wa mama na serikali yenyewe "Do not underestimate a quite guy". Wamesema 912 wanakuja tena kivingine, get prepared, au endeleeni kubeza mtavuna mabua.
 
Na ule ujinga ujinga wa siku ya maandamano et ndiyo siku ya usafi . Ujinga ule umekufa .... sasahivi tukisema ni siku ya maandamano yanafanyika 100 %
Walioandamana wamekufa au wamejeruhiwa na sanasana walipona wako rumande wakisubiri kujibu mashataka. Kama upo humu JF wewe ni Keyboad warrior tu. Usituchoshe
 
Kwa sababu zile zilikuwa propagnda, basi kuna kitu kitatokea mbashara..
Ningechukia kama waandamanaji wangeuliwa, lakini waliouliwa ni wezi na vibaka..
 
Walioandamana wamekufa au wamejeruhiwa na sanasana walipona wako rumande wakisubiri kujibu mashataka. Kama upo humu JF wewe ni Keyboad warrior tu. Usituchoshe
Eti keyboard warrior hamjifunzi kutokana na makosa, you did the same you are doing the same, Tanzania ina watu m60 waliokamatwa hawafiki hata elf moja.
 
Na ule ujinga ujinga wa siku ya maandamano et ndiyo siku ya usafi . Ujinga ule umekufa .... sasahivi tukisema ni siku ya maandamano yanafanyika 100 %
Haya maandamano ni ya nchi nzima kama wanaweza wafagie mikoa yote ya Tanzania
 
Hongera sana umeeleza vizuri, hayo ni mawazo yako na vyema yakaheshimiwa. Ila mwishoni hapo uliposema 'Mtakufa kama mbwa' imenipa shida kidogo, kwamba wewe hutokufa? Au ukifa utakufa kama malaika? Au mfano wa kufa kama mbwa ukoje?. Naomba screenshot haya maoni yako harafu tukutane tena baada ya miaka 50.
Miaka 50 aifikishe wapi kwa mawazo ya kijima aliyotoa yupo lika la kina Wassira miaka 5 mingi sana.
 
Chawa buana wajinga Luka mwashambwa,na wenzakesasa hivi wamebaki wakisema tulinde Amani ya nchi yetu😂😂😂😂😂😂
 
HAKUNA MWANADAMU TIMAMU ASIE MUOGA, KILA MOVE LAZIMA IWE CALCULATED... SIO KOSA WALA UPUMBAVU TENA KWENYE NCHI TULIYOPO ISIYOTHAMINI UHAI WA MTU MMOJA LAZIMA UENENDE KWA KUJILINDA.... MTU AKIWA MUOGA HAIMAANISHI KUWA HAWEZI KUWA JASIRI NA PIA JASIRI ANAWEZA KUWA MUOGA VILEVILE.

NIONESHE MWANADAMU ASIE MUOGA ALIEANDAMANA MWENYEWE AKABAKI SALAMA... LAZIMA WATU WASKILIZIANE ILI KUUNDA UMOJA WENYE NGUVU.
Na alivyo mpumbavu hajui kwamba serikali yake haramu ya CCM ndiyo majoga namba moja kwani mpaka sasa wanaficha maiti na kuandika sababu za uongo za mashujaa waliowapiga risasi kupoteza ushahidi
 
9th December sitoki.

Lakini namnukuu The mission 2017 :

"Nacho wapendea polisi hawana ubaguzi, uandamane usiandamane, Utiki usitiki, Uchome bara bara au uchome ubani risasi zitakuhusu tu 😀😀"

Toka nimesikia habari za 0912 nimekaa nazunguka ndani kutafuta angle ambazo hizi risasi za kuulia tembo sijui za kupasulia miamba walizoulia ndugu zetu hazitonifikia.

Hawa nao wanaokuja 0912 hatujui wanakujaje.

Namuomba MUNGU atende jambo kabla ya December
 
Nikikumbuka hawa vidampa wawili Lucas Mwashambwa na Yericko Nyerere walivyoaminisha watu kwamba hakuna atakayeandamana baadae wakaja kukana mabandiko yao ni dalili tosha wanatakiwa kusalimiwa wave two ya maandamano.
 
Back
Top Bottom