Hii ni moja ya operation iliyowahi kufeli chini ya masaa 48
Ilianzishwa na rais Trump na kuipublish kwenye mtandao wa jamii lakini kama kawaida yake chini ya masaa 48 kaacha ndala mwenyewe Hormuz.
Kufika 2030 nadhani kutakua na uhitaji hafifu sana wa watu waliosoma computer science.
Kwanini? Integration ya AI imekuja kuharibu vitu vingi, na mbaya zaidi hatuwezi kuikwepa, miaka 10 nyuma watu walimeza code, syntax Kwa ajili ya kutengeneza website au application, sasaivi simple website...
Jamani Wana JamiiForums nilitengeneza mgahawa wangu mzuri na Classic maeneo flani kwa ajili ya mapishi ya Supu, chapati, ugali, na wali.
Nikawa nauza vizuri tu siku ya kwanza hamna hata Chakula kimoja kilichobaki, yaani Saa 5 hamna supu Wala chapati mchana hivyohivyo.
Ila siku zilivyoenda kama...
Hamjambo!
1. Ingawaje ni Siku iliyobeba kumbukumbu zenye huzuni, maumivu na damu za watu. Lakini pia ilikuwa Siku muhimu kwa taifa letu.
2. Siku ambayo ilikuwa ikisubiriwa kwa miaka na miaka tangu mababu zetu. Walikuwa wakiisubiri Siku Ile ambayo ingefuta aibu, manyanyaso, kejeli na uteja...
Kama CCM isipoweza kutafuta mbinu au njia mpya ya kutawala watu,uwenda miaka 10 mbele kusiwepo tena na chama cha Siasa kinacho itwa chama cha mapinduzi
Zaidi ya 50% ya Watanzania ni vijana waliozaliwa Miaka ya 2000’s,yani kwenye sensa ya mwaka 2002 Watanzania walikuwa ni million 30 lakini leo...
Kwa mtaji wa matukio ya vifo vilivyotokea, utekaji wa wananchi na mambo mengine yasiyo ya kistaarabu, CCM imekuwa kimya na haina ubavu wa kukemea hayo.
Uchaguzi wenye mashaka nao hakuna mwana CCM anaweza kuweka kifua mbele kuwa ameshinda.
Hapa inaelekea ni serikali ilikuwa inajipigia debe...
Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga.
Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni'...
Wanaukumbi.
No Reforms, No Election imekufa, rasmi leo tarehe 12 August 2025 baada harambee ya CCM.
Ikiangalia watu kutoka maeneo mbalimbali wanavyomchangia Rais Samia kwa ajili ya kampeni utaona kabisa mapenzi makubwa waliokuwa nayo kwa Rais Samia.
Rais Samia anachangiwa na kila...
Ni wajinga tu ndio wenye kuamini Chadema itakufa!
Chadema ni kama Imani iliyowaingia wananchi damuni
Iko hivi, hata sasa, Jina tu la Tundu Lissu liwekwe kwenye karatasi za wagombea akiwa huko huko jela, kuna mtu atapigwa K.O
Kutoka akaunti ya X ya Jon Mrema
Salaam,
kwa kuwa kundi Sogozi la G -55 limekufa rasmi na halipo tena , naomba kuwatangazia rasmi kuwa Usemaji wangu kwenye Kundi hilo umekoma rasmi .
Hivyo basi , kama kuna jambo lolote litakalotumia jina la Kundi hilo ieleweke kuwa ni watu watakuwa wanataka...
MKIAMBIWA CHADEMA IMEKUFA NDIO HUKU SASA
Ukweli hauhitaji madoido. Mikutano haina watu ya CHADEMA..! Tujitathmini, si kudanganya hadhira kwa picha za 2015 wakati wa Mzee Lowasa, R.I.P wahuni wanatembelea ganda la Ndizi....! na Mbowe kawaacha yatima kila mtoto anataka chake nyumba haina Amani
Nchi inadaiwa trion 99
Nchi inalipa Deni kwa bilion 700 kila mwezi
Nchi kwa Sasa haina mradi wowote unao-endelea unaotoa ajira kwa watanzania angalau 10000 kwa pamoja!!
Miradi ya TARURA yote imelala wakandarasi wameikimbia
Imagine barabara ya 2km inajengwa Sasa ni mwaka mfano hii ya msongola...
JE NI KWELI CHADEMA IMEKUFA?
Habari ya jioni wadau
Hili ni swali ambalo nimekuwa nikijiuliza sana baada ya kuona nguvu kubwa inayotumika mitandaoni kuaminisha watu kwamba chadema ipo hoi, imekufa, imepoteza mvuto.
Jambo linalonishangaza ni pale napoona mijadala mikali kukashifu chama ambacho...
Mara ya mwisho ku peak ilikua 2011, taarab ilikua juu sana. Ila baada ya pale naona imepotea, nina miaka mingi sijasikia hit song ya taarab.
Whyyyy, hizi amapuano sijui singeli sijawai zielewa hata.
Bring back taarab.👌👌
Wakati Trump anamsubiria Narendra Modi Waziri mkuu wa India kufika White House Trump akawa anapiga story na waandishi wa habari, wakumuuliza vipi kuhusu BRICS, amewajibu kwa tambo na makeke sana.
Trump anasema BRICS imekufa baada ya kauli yake kuwaambia wakigusia tu kwenye vikao vyao wanataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.