Watanzania wengi ni waoga kazi kujificha nyuma ya keyboard tu hovyo kabisa

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,839
17,437
Watanzania wengi mitandaoni kazi ni kufatilia mambo ya umbea tu na udaku mambo ya nchi mnaachia wachache

Asilimia kubwa ya vijana wa nchi hii ni vijana wa hovyo wanajua tu kulalama na kazi yao ni kuwafatilia kina diamond na zari tu huko Instagram

Kazi za watanzania ni kufatilia nani kaachia "connection" mpya huku mambo ya nchi mkiyatekeleza na kuwaachia wachache

Mpo busy kuperuzi Instagram na kujiunga magroup ya hovyo watssap ya kusaka connection huku mambo muhimu ya nchi hata hampost wala hamfatilii, hiyo ni akili kweli?

Vijana wanafatilia mambo ya hovyo tu, ukisema mambo ya nchi unaitwa mwanasiasa ukipost mambo ya kulalamika tozo unaambiwa "broo kuwa makini litakukuta jambo" yaani vijana wa nchi hii hakuna kazi ni waoga tu..

Asilimia kubwa ya Watanzania hawazijuwi haki zao, ndo maana tunapelekwa pelekwa tu kama mang'ombe na huu utawala wa samia maana walishatusoma akili zetu

Ndo maana vijana wengi maendeleo hawana kwasababu wapo busy kufatilia mambo ya diamond sijui harmonize sijui wema kafanyaje na connection za kipuuzi

Tungelikua na mwamko wa mambo ya nchi walau asilimia 70 ya vijana wote au watz unafikiri watawala wangetuchezea hivi?sasa hivi watanzania walio active ktk mambo ya nchi mfano kupinga tozo kupost mitandaoni kupinga matozo hata 5% hawafiki wengine 95% wapo instagram wakifatilia yasiyowahusu,umbea na connection ndo maana siwezi msaidia kijana mwenzangu hata kidogo namwaacha ateseke tu maana hawana la maana kabisa ni bure kabisa

Hii nchi ina vijana wa hovyo sana, aliyetulaani sijui ni nani!hadi wakenya wanatucheka vijana wa tz tulivyo watu wa hovyo.

Tungelikua tunajielewa huyu Mama tungelikua tushamtoa madarakani kisheria na maandamano ya amani

Tungekua tushamtoa SSH na genge lake kina makamba,mwigulu,na Nape kwa maandamano ya amani au kisheria

Tatizo la watanzania tumelogwa sijui na nani?Tumekua ni watu wa kulalamika tu mtandaoni na hatuchukui hatua

Watawala washaujuwa udhaifu wetu kuwa ni watu wa kulalamika tu bila lolote kufanyika watu wa kulalamika tu hata tukifanyiwa dhulma tunatulia tu kwa kua washatuona tupo hivi

Hivi Samia, nape, mwigulu na makamba ingekua ni nchi nyingine lets say kenya wangefanya mambo ya ajabu kama haya??

Ingekua washamuondoa madarakani kwa nguvu ya umma, sisi watz tupo kama tuna laana ya asili vile, tungelikua tunajielewa ccm wasingekua wanatutesa na kutugeuza kama tishu za chooni kila siku.

Tunahitaji ukombozi wa fikra na kujitambua na tulivyo watu wa ajabu kesho na 2025 tunakua tushasahau kila siku.

Jiwe alituumiza sana kila mtu alilalamika mtandaoni na mtaani kwa jinsi alivyowatesa watanzania lakini 2020 na 2021 akaanza kuigiza kwamba yu mwema tukasahau kila kitu eti leo tunamwiita shujaa ushujaa upi huo??

Tumekua ni watu wa kuchezewa tu na watawala kwa miaka mingi sasa, siku tutakapozinduka itakua too late na tutajuta tulikua wapi siku zote....

Kazi imebaki kujificha nyuma ya keyboard kusearch connection tu na udaku Instagram......Natamani hata mungu ashushe moto tuunguwe wote labda watakaozaliwa tena watakua na akili ila this generation nooo!!!
 
Usiwalaumu sana, mimi nawaona ni kama Simba aliyelala, vile anavyozidi kuchezewa sharubu iko siku ataamka amchakaze yule anayemchezea.

Hivyo waache wakina Mwigulu waendelee tu kumchezea huyu Simba kwa tozo zao wakidhani amekufa, siku akiamka ndio utakuwa mwisho wa hii michezo yao ya tozo za kila siku, probably ndio utakuwa mwisho wa kitu kinachoitwa "serikali ya CCM"
 
Watanzania wengi mitandaoni kazi ni kufatilia mambo ya umbea tu na udaku mambo ya nchi mnaachia wachache

Asilimia kubwa ya vijana wa nchi hii ni vijana wa hovyo wanajua tu kulalama na kazi yao ni kuwafatilia kina diamond na zari tu huko Instagram

Kazi za watanzania ni kufatilia nani kaachia "connection" mpya huku mambo ya nchi mkiyatekeleza na kuwaachia wachache

Mpo busy kuperuzi Instagram na kujiunga magroup ya hovyo watssap ya kusaka connection huku mambo muhimu ya nchi hata hampost wala hamfatilii, hiyo ni akili kweli?

Vijana wanafatilia mambo ya hovyo tu, ukisema mambo ya nchi unaitwa mwanasiasa ukipost mambo ya kulalamika tozo unaambiwa "broo kuwa makini litakukuta jambo" yaani vijana wa nchi hii hakuna kazi ni waoga tu..

Asilimia kubwa ya Watanzania hawazijuwi haki zao, ndo maana tunapelekwa pelekwa tu kama mang'ombe na huu utawala wa samia maana walishatusoma akili zetu

Ndo maana vijana wengi maendeleo hawana kwasababu wapo busy kufatilia mambo ya diamond sijui harmonize sijui wema kafanyaje na connection za kipuuzi

Tungelikua na mwamko wa mambo ya nchi walau asilimia 70 ya vijana wote au watz unafikiri watawala wangetuchezea hivi?sasa hivi watanzania walio active ktk mambo ya nchi mfano kupinga tozo kupost mitandaoni kupinga matozo hata 5% hawafiki wengine 95% wapo instagram wakifatilia yasiyowahusu,umbea na connection ndo maana siwezi msaidia kijana mwenzangu hata kidogo namwaacha ateseke tu maana hawana la maana kabisa ni bure kabisa

Hii nchi ina vijana wa hovyo sana, aliyetulaani sijui ni nani!hadi wakenya wanatucheka vijana wa tz tulivyo watu wa hovyo.

Tungelikua tunajielewa huyu Mama tungelikua tushamtoa madarakani kisheria na maandamano ya amani

Tungekua tushamtoa SSH na genge lake kina makamba,mwigulu,na Nape kwa maandamano ya amani au kisheria

Tatizo la watanzania tumelogwa sijui na nani?Tumekua ni watu wa kulalamika tu mtandaoni na hatuchukui hatua

Watawala washaujuwa udhaifu wetu kuwa ni watu wa kulalamika tu bila lolote kufanyika watu wa kulalamika tu hata tukifanyiwa dhulma tunatulia tu kwa kua washatuona tupo hivi

Hivi Samia, nape, mwigulu na makamba ingekua ni nchi nyingine lets say kenya wangefanya mambo ya ajabu kama haya??

Ingekua washamuondoa madarakani kwa nguvu ya umma, sisi watz tupo kama tuna laana ya asili vile, tungelikua tunajielewa ccm wasingekua wanatutesa na kutugeuza kama tishu za chooni kila siku.

Tunahitaji ukombozi wa fikra na kujitambua na tulivyo watu wa ajabu kesho na 2025 tunakua tushasahau kila siku.

Jiwe alituumiza sana kila mtu alilalamika mtandaoni na mtaani kwa jinsi alivyowatesa watanzania lakini 2020 na 2021 akaanza kuigiza kwamba yu mwema tukasahau kila kitu eti leo tunamwiita shujaa ushujaa upi huo??

Tumekua ni watu wa kuchezewa tu na watawala kwa miaka mingi sasa, siku tutakapozinduka itakua too late na tutajuta tulikua wapi siku zote....

Kazi imebaki kujificha nyuma ya keyboard kusearch connection tu na udaku Instagram......Natamani hata mungu ashushe moto tuunguwe wote labda watakaozaliwa tena watakua na akili ila this generation nooo!!!
Kama wewe ulivyo wa hovyo
 
Mtoa mada yupo sahihi kama umesoma vizuri Uzi wake hajasema watu waingie barabarani isipokuwa analaumu vijana mafala kama wewe ambao kazi yenu ni kuangalia connection za mange kimambi
Njaa na sonona hupelekea makasiriko yasiyo maana
 
Tuanze na wewe ambaye sio muoga umeonesha nini ambacho kinaonesha ujasiri wako? Maana kwa uoga wako tuu hata jina unalo tumia humu la kujificha kimsboy ndio jina lako hilo? We mwenyeww lioga halafu unasema wenzio!kweli nyani haoni kundule.
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom