Propaganda ya “Watanzania ni waoga, wanaandamana mitandaoni” imekufa rasmi

9th December sitoki.

Lakini namnukuu The mission 2017 :

"Nacho wapendea polisi hawana ubaguzi, uandamane usiandamane, Utiki usitiki, Uchome bara bara au uchome ubani risasi zitakuhusu tu 😀😀"

Toka nimesikia habari za 0912 nimekaa nazunguka ndani kutafuta angle ambazo hizi risasi za kuulia tembo sijui za kupasulia miamba walizoulia ndugu zetu hazitonifikia.

Hawa nao wanaokuja 0912 hatujui wanakujaje.

Namuomba MUNGU atende jambo kabla ya December
Ufie ndani kwa amani.
 
Huna akili.
Watanzania waoga mno kufa.
MANGE ndiye alikuwa Kibwetele akawaambia kuwa Jeshi halimtaki mama hivyo linasubiri mtoke road kuchukua nchi yao.
Ile propaganda ilifanywa simple sana kwa kushirikiana Maaskofu
kadhaa . Mitandaoni kukasambazwa propaganda za video na sms za kubumba. Watu wakajaa.
Wakauliwa .
Ngoja nikuambie kitu, hilo jeshi ndo limeua sana Watanzania wakaidi ile 30-31.
Wananchi walipoona tofauti na waliyoambiwa na nabii wao wakarudi ndani. That's why wengine waliuliwa ndani kwao ila wote ni wale waliokimbilia ndani wakidhani serikali haina macho.
Cha ajabu mange anaandaa propaganda nyingine.
Kwa ufinyu wa ubongo wa Watanzania watamwamini.
Tarehe 10. December kitakuwa kilio kikuu.
Hii ndio itatusaidia 👇

The International Criminal Court (ICC) can indict a sitting head of state, as it maintains that official capacity does not grant immunity from criminal responsibility for crimes within its jurisdiction.

This position is based on Article 27 of the Rome Statute and is supported by the ICC Appeals Chamber, which has ruled that customary international law does not provide immunity before an international court for sitting heads of state. However, the ICC's ability to enforce an arrest warrant against a sitting head of state depends on the cooperation of individual states.

Key points:
Official capacity is not a shield: The ICC's stance is that a person's position as a head of state, minister, or other official does not exempt them from criminal responsibility before the Court.
No immunity for international crimes: The ICC asserts that immunity from prosecution for international crimes does not apply to individuals subject to its proceedings, regardless of whether they are from a State Party to the Rome Statute or not.

Precedent: The ICC issued arrest warrants for Sudan's then-President Omar al-Bashir in 2009 and 2010, the first time it had done so for a sitting head of state.
 
Huna akili.
Watanzania waoga mno kufa.
MANGE ndiye alikuwa Kibwetele akawaambia kuwa Jeshi halimtaki mama hivyo linasubiri mtoke road kuchukua nchi yao.
Ile propaganda ilifanywa simple sana kwa kushirikiana Maaskofu
kadhaa . Mitandaoni kukasambazwa propaganda za video na sms za kubumba. Watu wakajaa.
Wakauliwa .
Ngoja nikuambie kitu, hilo jeshi ndo limeua sana Watanzania wakaidi ile 30-31.
Wananchi walipoona tofauti na waliyoambiwa na nabii wao wakarudi ndani. That's why wengine waliuliwa ndani kwao ila wote ni wale waliokimbilia ndani wakidhani serikali haina macho.
Cha ajabu mange anaandaa propaganda nyingine.
Kwa ufinyu wa ubongo wa Watanzania watamwamini.
Tarehe 10. December kitakuwa kilio kikuu.
Hatuna tatizo la kuuliwa sana na jeshi, ila tunajilaumu kwa kutokuwa na silaha. Safari hii tutazika wote. Location ya viongozi zinafahamika pamoja na hao askari. Wakati sisi tunazika na wao watakuwa wanazika familia zao. Bila silaha heshima haiwezi kupatikana.
 
Huna akili.
Watanzania waoga mno kufa.
MANGE ndiye alikuwa Kibwetele akawaambia kuwa Jeshi halimtaki mama hivyo linasubiri mtoke road kuchukua nchi yao.
Ile propaganda ilifanywa simple sana kwa kushirikiana Maaskofu
kadhaa . Mitandaoni kukasambazwa propaganda za video na sms za kubumba. Watu wakajaa.
Wakauliwa .
Ngoja nikuambie kitu, hilo jeshi ndo limeua sana Watanzania wakaidi ile 30-31.
Wananchi walipoona tofauti na waliyoambiwa na nabii wao wakarudi ndani. That's why wengine waliuliwa ndani kwao ila wote ni wale waliokimbilia ndani wakidhani serikali haina macho.
Cha ajabu mange anaandaa propaganda nyingine.
Kwa ufinyu wa ubongo wa Watanzania watamwamini.
Tarehe 10. December kitakuwa kilio kikuu.
Kijana naona unatutetea sana asante nimepokea maoni yako nikiwa kama Msemaji wa Abduli Ameir tutakupa hogo la Jang'ombe kama zawadi yako!
🥰🥰🥰
 
Maandamano ya jayo tu deal na mi ccm, polisi na wote tunao wafahamu wana jiita vyombo vya ulinzi wa ccm.
 
Kabla ya maandamano ya MO29 kulikuwa na propaganda nyingi hasa kutoka kwa chawa wa mama kuwa hakuna mtanzania atakayejitokeza siku ya maandamano kwa kuwa Watanzania ni waoga.

Propaganda hizo ziliendelea hadi siku yenyewe, asubuhi mida ya saa 4 kwenye mitandao walianza kubeza 'mbona hatuwaoni', ilipofika saa 8 mchana moto ulipoanza kukolea sijawasikia tena.

Propaganda hiyo imekufa rasmi siisikii tena wamebaki kusema mali nyingi zimeteketea.

Nawakumbusha tu chawa wa mama na serikali yenyewe "Do not underestimate a quite guy". Wamesema 912 wanakuja tena kivingine, get prepared, au endeleeni kubeza mtavuna mabua.
Pigo moja tu takatifu
 
Kwahiyo sheikh majini na yeye alienda kujificha ndani?
Waache wabwabwaje tu, hiyo siku wache wabishe tuu. Kama shehe Majini alishindwa kuzuia risasi na hazikumlenga yeye bali vijana wa TZ basi na hiyo 9/12 wakitumia tena Sasa zitawalamba wasiyetegemea
 
Walioandamana wamekufa au wamejeruhiwa na sanasana walipona wako rumande wakisubiri kujibu mashataka. Kama upo humu JF wewe ni Keyboad warrior tu. Usituchoshe
kwa taarifa yako tu ilie ni asilimia ndogo, wengi walirudi mitaani, na bado wapo sana tu
And they are coming , its not over
 
Huna akili.
Watanzania waoga mno kufa.
MANGE ndiye alikuwa Kibwetele akawaambia kuwa Jeshi halimtaki mama hivyo linasubiri mtoke road kuchukua nchi yao.
Ile propaganda ilifanywa simple sana kwa kushirikiana Maaskofu
kadhaa . Mitandaoni kukasambazwa propaganda za video na sms za kubumba. Watu wakajaa.
Wakauliwa .
Ngoja nikuambie kitu, hilo jeshi ndo limeua sana Watanzania wakaidi ile 30-31.
Wananchi walipoona tofauti na waliyoambiwa na nabii wao wakarudi ndani. That's why wengine waliuliwa ndani kwao ila wote ni wale waliokimbilia ndani wakidhani serikali haina macho.
Cha ajabu mange anaandaa propaganda nyingine.
Kwa ufinyu wa ubongo wa Watanzania watamwamini.
Tarehe 10. December kitakuwa kilio kikuu.
Watu mnaosikitikia mauaji ya wapalestina ndio hao hao mnaokejeli vifo vya watanzania wenzenu!
Kuna Nini?
Nilidhani dini yenu ni ya haki!
Yaani ukikuta kashupaza mshipa kuwalaumu wayahudi kwa mauaji ya wapalestina na ukalinganisha na anavyofurahia kilichotokea bongo unasikitika sana!
Palestinian sympathizers wa humu muwachunguze mtaamini Ninachokiona
 
Huna akili.
Watanzania waoga mno kufa.
MANGE ndiye alikuwa Kibwetele akawaambia kuwa Jeshi halimtaki mama hivyo linasubiri mtoke road kuchukua nchi yao.
Ile propaganda ilifanywa simple sana kwa kushirikiana Maaskofu
kadhaa . Mitandaoni kukasambazwa propaganda za video na sms za kubumba. Watu wakajaa.
Wakauliwa .
Ngoja nikuambie kitu, hilo jeshi ndo limeua sana Watanzania wakaidi ile 30-31.
Wananchi walipoona tofauti na waliyoambiwa na nabii wao wakarudi ndani. That's why wengine waliuliwa ndani kwao ila wote ni wale waliokimbilia ndani wakidhani serikali haina macho.
Cha ajabu mange anaandaa propaganda nyingine.
Kwa ufinyu wa ubongo wa Watanzania watamwamini.
Tarehe 10. December kitakuwa kilio kikuu.
UNATESWA NA DAMU UKIWA WAPI?TSH 25M ZITAISHIA KUMTIBU MAMA YAKO KANSA
 
Back
Top Bottom