Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,990
- 48,491
😂😂Nilipitwa hii
😂😂Nilipitwa hii
wifi yetu utuzalie na mtoto sio kujaza choo tuKama alivyo kaka yako.
Kuhudumiwa ni nature yetu..😂😂😂
Shule ulienda kusomea ujinga.
Ujima ndio uliotoa huo mfumo wa kumhudumia Mwanamke kwani ulimchukulia Mwanamke kama kiumbe dhaifu, mlemavu mwenye mapungufu, asiyeweza kumiliki wala kuzalisha Mali zake.
Mpaka Wanawake wakalemaa, na ninyi ni vizalia vya ujima.
Wewe ukiulizwa utoe hoja tatu nzito Kwa nini Mwanamke ahudumiwe utatoa majibu, au ndio utaleta viroja humu?
Acheni Utapeli
So unajua watu woteee??? Makiriii acha hayo kujikuta keyboard warriorNitajie anayekataa ambae hafall hizo criteria?!
Kuhudumiwa ni nature yetu..
Kuhudumiwa kunapunguza mood swings....hivyo kupunguza conflicts
Kuhudumiwa ni muhimu kwa afya ya mahusiano yenu!, acha mawazo ya kijima babu!
Mjima naujua na nikiona mjima namjua!Hujui hata maana ya ujima.
Hujui hata maana ya nature,
Utapeli unaita nature.
Unashindwa kuona hata kuona wanyama wanaishije, unakalia Utapeli
Mjima naujua na nikiona mjima namjua!
Utapeli gani, unapingana na nature,ni sawa na kusema Robert hakojoi kwa kusimama, wa ajabu wewe..
Nonsense.....Ninyi ndio mliaminishwa kuwa Wanawake hawawezi kuwa madaktari au marubani Kwa kisingizio cha nature.
Uvivu, Utapeli na ulaghai ndio mnaita nature.
Kitu kinachoitwa nature MTU anazaliwa nacho, sio chakufundishwa.
Tabia ya Wanawake kupenda kuhudumiwa sio ya Asili Bali ni mfumo wa kijima aliojengewa, sasa imekuwa hulka ya Mwanamke lakini sio SILIKA
Ila wewe nawe! kama haya unayoyahubiri ndio unayatekeleza kwa 100% your wife will never find peace, hatokaa apate furaha maisha, na ni bora umwambie aondoke, au hana pa kwenda? watu wanaogopa kukwambia ukweli acha mi nikwambie.Unaongea vitu ambavyo mtoto Mdogo angevieleza.
Wewe Subiri misukule ya kuinyonya Ila wanaume wa maana utawasikia kwenye redio tuu.
Kwenye Ndoa hakuna kipengele cha kuhudumiwa MKE. MKE ni sehemu ya familia iweje ahudumiwe?
Hivi hizi Akili mnazitoa wapi?
MKE ni sehemu ya mamlaka ya serikali ya familia sasa iweje useme anahudumiwa?
Huko ni kutengeneza mazingira ya Unyonyaji, ndio tunaita Ukupe na ukahaba.
Ushaambiwa MKE na Mume ni mwili mmoja alafu Kwa uelewa wako Mdogo au WA kitapeli unataka uhudumiwe.😂😂
Subiri wanaume wa level YAKO
Naunga mkono hoja kwani migogoro ya haina umri wala .ndoa za sasa hali mbaya mi mwezi 11 mwaka jana kuna bro kafa kanywa sumu .kisa mke ananyanyaswa na mke.hoja yako ya msingi sanasidhani kama upo sahihi kwamba wakataa ndoa ni watu wadhaifu kama unavyoelezea sifa zao.. watu makini kama Stamina na Nikki wa pili sidhani kama na wao wanataka kusikia kitu kinachoitwa ndoa..
wakataa ndoa wengi aidha wametendwa, au wanawake zao wamewatumia kwa manufaa yao na kuwatema.
ila pia ukioa kuna hadhi flani unapata kutoka kwa jamii inayokuzunguka.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Na ndio wengi sasaNdoa ni uhuni kama utapata hawa Wanawake wanaotaka kuhudumiwa kama Kuku WA kisasa.
Chakwao ni Chao, chakwako ni chawote.
Huo Utapeli ni Bora Vijana waipinge hiyo Ndoa.
Lidangaji hilo limwanamke kwa kivuli cha ndoa. Nimelishtukia kitambo sana. Kununuliwa linaita kuhudumiwa.Inamaana dada yangu ndoa nikwa walio financially stable tu??ndio manaa vinana wanapinga unyonyaji kwann ulazimishe kuhudumiwa wakati mtu hana uwezo wakukuhudumia???kama ndoa ni kwa ajili ya wanaume walio financially stable basi hoja za wazee wakataa ndoa niunyonyaji nautapeli wako sahihi,maana sio lazima tulingen uchumi dada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ndoa si kwa wanaume walioko financially stable tu, hebu nikuulize swali, kuna ndoa zimedumu 30-40 years hadi wanandoa wamezeeka. We unaamini miaka yote hiyo mwanaume alikuwa financially stable? Mbona mnaunderate uwezo wa wanawake kuokoa majahazi.Inamaana dada yangu ndoa nikwa walio financially stable tu??ndio manaa vinana wanapinga unyonyaji kwann ulazimishe kuhudumiwa wakati mtu hana uwezo wakukuhudumia???kama ndoa ni kwa ajili ya wanaume walio financially stable basi hoja za wazee wakataa ndoa niunyonyaji nautapeli wako sahihi,maana sio lazima tulingen uchumi dada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata uchungu wako Ni utapeliWewe shida yako nini nikiwa na uchungu?!