Profile la kijana mkataa ndoa

Profile la kijana mkataa ndoa

We unawapangia watu maisha nyie mmechezewa Hadi mmepata mabawa sasa mnataka ndoa ili iweje ndoa ni kwa ajili ya bikra tu that all
Wewe nawe ni wa kuangaliwa, nadhani ni misogynist mwingine kama Robert Heriel ,nimeku mark nitaangalia michango yako,najua kama ni mmojawapo mada za wanawake nitakukuta tu umejaza utumbo wako.
 
kitu nilichoweka hapa ambacho wewe unakiona ni personal attacks,,,, hayo mazuri ya ndoa ni topic inayojitegemea
labda nikukumbushe tu kuwa wapo waliowahi kuweka hizo profile data za wakataa ndoa,, wewe siyo wa kwanza lakini waliambulia patupu,, my take: jaribuni kuwa na ushawishi wa tofauti na si kuwashambulia wao,, coz kila mwanadamu ana uamuzi juu ya maisha yake.
 
Wakuwapelekea fire wapo kibao mkizidiwa na upwiru huwa baadhi yenu mnawapa hadi bodaboda.
tatizo kuu ni kuwa watu wanakwepa kuishi nyumba moja na mamba na ndiyo maana mleta mada anapiga Yowe kubwa hapa.
😂😂
 
labda nikukumbushe tu kuwa wapo waliowahi kuweka hizo profile data za wakataa ndoa,, wewe siyo wa kwanza lakini waliambulia patupu,, my take: jaribuni kuwa na ushawishi wa tofauti na si kuwashambulia wao,, coz kila mwanadamu ana uamuzi juu ya maisha yake.
Nani kashambulia??? wewe kusemwa una mguu mmoja ni kushambuliwa kama una mguu mmoja?? hao wanaoweka hizi mada hapa ni watoto tu kama nilivyoweka na kisha labda hujaona michango ya wakataa ndoa ni mingi mbona hatulalamikii ushawishi wao?
 
Chukua time,ningetaka kuongelea kwenye ndoa ningeweza kuchomekea kwenye topic zilizopo,mimi kuwa na degree ama kutokua nayo hayakuhusu,sina mazoea na ma misogynists mimi. Hujaielewa mada yangu period.

Unaongelea ndoa alafu unasema ungetaka kuzungumzia ndoa. 😂😂😂
Hizi degree za siku hizi zinavioja Mno.
 
Unaongelea ndoa alafu unasema ungetaka kuzungumzia ndoa. 😂😂😂
Hizi degree za siku hizi zinavioja Mno.
Degree kama yako una mawazo ya kijima sijui uliipata lini??? nimetaka kuongelea profile lenu wakataa ndoa leo unakuja na ndoa ni utapeli, halafu unajiona una akili...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom