Hahaha asee1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30 and under.
2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially.
3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.
4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,
5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.
Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
Mkuu usiirudishe hii mada juu please sina energy
Don't worry energy ya nini sasa?Mkuu usiirudishe hii mada juu please sina energy
😅🤣🤣🤣Haya ndio madhara ya kuzaa watoto nje ya ndoa, matokeo yake ni lazima waje kupinga ndoa.
Ukiona mtu anakataa ndoa basi kuna uwezekano mkubwa amezaliwa na malaya.
Mapimbi ya Ndoa kwenye ubora wao.
Hiyo hadhi toka kwa jamii unaweza kuitumia kama dhamana kukopa hela benki?ila pia ukioa kuna hadhi flani unapata kutoka kwa jamii inayokuzunguka.
Tukisema ndoa inapovunjika sheria za kugawana mali, child support na divorce alimony ziondolewe. Vile vile upimaji wa DNA uwe mandatory kisheria mtoto anapozaliwa tu, wanawake wanapingaMapimbi ya Ndoa kwenye ubora wao.
ACHANA NAO.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ulikuwa na hoja1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30 and under.
2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially.
3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.
4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,
5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.
Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
Issue siyo kujibu hoja generally, lazima ujibu hoja kwa dataNdugu mjumbe, Mimi kama RAISI WA CHAMA LA WAKATAA NDOA TAIFA, naomba nikujibu kama ifuatavyo:-
1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30's and under...
YAP NINA MIAKA 33 (1990)
2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially..
HAPANA:-
Pasipo na maana ya kujisifia ila ....
NINA BIASHARA YENYE MTAJI WA MIL 42 na ajira yenye mshahara wa greater than 1.5Mil
Lakini pia ni mkulima mwenye Eka 57 za matunda na miti mbao.
3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.
HAPANA:-
Katika jambo nalosisitiza hata kwa watoto wangu ni "Share what you get"
Mungu amekupa baraka basi na wewe gawa.
4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,
HAPAN:-
Mimi ni muomgeaji hasaa na napenda kukaa na watu na sanaa kuongelea mambo ya pesa.
5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.
HAPANA:
Sina mama na SIJAWAHI kumjua sanaaa.
RIP my mum.
Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
SIO KILA WAZO NDIO WAZO SAHIHI.
Nakala:-
Katibu Mkuu, dronedrake - Aione kwenye jalada
#YNWA
Hawatakubali. Kuna watu msiba wa wengi kwao ni sherehe!.1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30 and under.