dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,590
- 60,791
mara mwisho ku-sex ni Dec 2020, nadate na BabyCareKitaisha aisee
Kitakuwa sugu..
mpaka leo hii, ni mara 4 kwa siku, mchawi 5000 tu tena kila baada miezi 7 mpaka mwaka
mara mwisho ku-sex ni Dec 2020, nadate na BabyCareKitaisha aisee
Kitakuwa sugu..
hiyo dudu haijaishiwa misuli?mara mwisho ku-sex ni Dec 2020, nadate na BabyCare
mpaka leo hii, ni mara 4 kwa siku, mchawi 5000 tu tena kila baada miezi 7 mpaka mwaka
siyo kwamba hataki ku-divorce sababu ya kugawana pasu kwa pasu kibanda walichojenga hapa jirani ?Unadanganyika na migongano?? vinagongana vikombe kabatini itakua watu???so long wako pamoja hao ni wamoja,,,,
Kumtuhumu mwanaume ambaye ni rijali kuwa ni shoga kwa sababu ya view zake kuhusu chqngamoto za ndoa ni kujilisha upepo tu.
Mimi naona vijana wana hoja na jamii inayokubali hoja haitaki kuwssikiliza ili kuzikabili hizo changamoto badala yake jamii inalazimisha ndoa hata kama mfumo wake ni mbovu.
Hizi ndoa za siku hizi ni tofauti na mpango wa Mungu. Ndoa hamilikowi na kanisa au msikiti. Ndoa ni taasisi inayojitegemea..... inapaswa kujafiliana badala ya kutishana na kudhalilishana
hapana, iko vile vilehiyo dudu haijaishiwa misuli?
HaleluiyaNdoa ya Mungu Mwanamke alikuwa msaidizi WA mwanaume, ndoa za kishetani zinazoendelea humu Duniani, Mwanamke anakuwa mnyonyaji WA wanaume. Lihudumiwe kila kitu kama maiti.
Na hapo hapo lifanye umalaya ulisamehe.
Hiyo ndoa au upuuzi
Haleluiya
Mkuu umenena ya moyo
furaha ya kunyonyana?
Vijana waendelee kukataa makupe kama ninyi, mnaingia ndoani kutafuta Ajira ya kulishwa na kuvishwa kama mifugo.
Wanawake wenye Akili hawahudumiwi, Ila wanafanya Maisha pamoja na waume zao. Ni wasaidizi wa waume zao sio wanyonyaji. Kwa kisingizio cha MKE SIJUI UPUUZI GANI.
Ukahaba ndio unaita Ndoa,
Yaani bila Pesa hakuna ndoa, bila Mahari hakuna Ndoa. Huoni hiyo ni biashara?
Wewe tafuta hiyo misukule mliozoea kuitumikisha iwahudumie.
Sisi tunaoa Wake Bora, wenye ubepari. Ili ule lazima ufanye kazi
W
Pole una stress za kutokuolewa1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30's and under...
2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially..
3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.
4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,
5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.
Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
Kwa hio msaidizi mke alikua hauhudumiwi?????Shida yako ni kuhudumia??? kaazi kweli kweli...nilisema pale juu most mko financially insecured sijui kama ulinielewa???? mwanaume financially yuko njema sidhani kama ataona shida kumhudumia mke wake...Ndoa ya Mungu Mwanamke alikuwa msaidizi WA mwanaume, ndoa za kishetani zinazoendelea humu Duniani, Mwanamke anakuwa mnyonyaji WA wanaume. Lihudumiwe kila kitu kama maiti.
Na hapo hapo lifanye umalaya ulisamehe.
Hiyo ndoa au upuuzi
Hunijui sikujui, usinizoee....Pole una stress za kutokuolewa
Afu watu wamesema hawataki kuoa Sasa wewe unaumia nn😂😂
siyo kwamba hataki ku-divorce sababu ya kugawana pasu kwa pasu kibanda walichojenga hapa jirani ?
Hunijui sikujui, usinizoee...
Mko kimaslahi, Huo Uzwazwa wapigeni wasiojilelewa wanaotoka KazimzumbwiYaani mwanaume ashindwe kuacha mtu kisa kugawana mali??? .....
Paragraph ya mwisho inadhihirisha stress zilizojaa kwenye vifua vya waliokosa wa kuwaoa.
Nimekwambia baki kuwa padre tuuu...kimaslahi fafanua?!Mko kimaslahi, Huo Uzwazwa wapigeni wasiojilelewa wanaotoka Kazimzumbwi
Haibiwi Mtu Hapa, Mimi Siibiwi
Kataa Ndoa
Eti wanyonyaji kwa hio kumuhudumia mkeo ni unyonyaji??,Kumsaidia mume ndio asikuhudumie????hakuna mwanamke asiyependa kuhudumiwa Fact number moja,unless mkeo ni pretender,mmekutana mume ana views za ajabu ajabu mke anapretend hapendi kuhudumiwa,
Ningependa kujua huyo mkeo mlibebana hukutoa mahari au na wazazi wake nao ni mabepari???????
sina haja ya kufafanua tena, mkuu Robert Heriel kishafafanua sana huko juuNimekwambia baki kuwa padre tuuu...kimaslahi fafanua?!