Profile la kijana mkataa ndoa

Profile la kijana mkataa ndoa

Same to you,,mada yako iko based on personal attack na si kum-convince mkataa ndoa kwa kuorodhesha mazuri yapi yanayopatikana kwenye ndoa anyway seems unaugulia maumivu ya kutokuwa kwenye ndoa.
 
Una neno gani la kusema kwa watu wengi wenye ndoa zao nzuri tu ambao ni wengi...au hao watu watatu ni kati ya wangapi wenye ndoa nzuri?
Watu wanamegewa sana ila inabaki ni siri ya ndani.
Ndoa za sasa hivi hakuna nzuri, zinapumulia mashine.
Watu wapo kwenye ndoa kwasababu wanalea watoto tu ila upendo 0%.
 
Kumbe hujui hata ulichokuwa unajadili.
Kwa kukusaidia tuu,
Lengo kuu la Uzi ni Ndoa.
Hiyo profile ya mkataa ndoa Ipo ndani ya mada ya Ndoa.

Aya yako ya mwisho, hiyo ipo Kwa makahaba, ndio maana nikakuambia unashindwa kutofautisha ndoa na ukahaba.
Ndoa inahusu Mume na MKE ambao ni mwili mmoja.
Lakini ukahaba unaouzungumzia wewe ni huo wa cha MKE ni cha MKE, alafu cha mume ni chawote. Hiyo ndio biashara ya ukahaba ilivyo. Popote Duniani.

Nenda kwenye madanguro Huko utaona nikisemacho. Sasa siku hizi Watu wamegeuza nyumba kuwa danguro alafu wanaita Ndoa. Ajabu hii
Huyo dada Hana anachoongea Ni pumba
 
Same to you,,mada yako iko based on personal attack na si kum-convince mkataa ndoa kwa kuorodhesha mazuri yapi yanayopatikana kwenye ndoa anyway seems unaugulia maumivu ya kutokuwa kwenye ndoa.
Sikutaka kuorodhesha mazuri ya ndoa sababu nilitaka tujadili kitu nilichoweka hapa ambacho wewe unakiona ni personal attacks,,,, hayo mazuri ya ndoa ni topic inayojitegemea
 
Watu wanamegewa sana ila inabaki ni siri ya ndani.
Ndoa za sasa hivi hakuna nzuri, zinapumulia mashine.
Watu wapo kwenye ndoa kwasababu wanalea watoto tu ila upendo 0%.
Nyinyi msio na ndoa ndio mnaongoza kumegana hovyo, haiwezekani ukatae ndoa halafu ujifanye unabariki kutomegana hovyo….
 
Wakuwapelekea fire wapo kibao mkizidiwa na upwiru huwa baadhi yenu mnawapa hadi bodaboda.
tatizo kuu ni kuwa watu wanakwepa kuishi nyumba moja na mamba na ndiyo maana mleta mada anapiga Yowe kubwa hapa.
Sijapiga yowe, sidhani Km umeielewa Hata hii mada,,,,
 
Una neno gani la kusema kwa watu wengi wenye ndoa zao nzuri tu ambao ni wengi.
Huu ni uwongo unaotaka kuutumia kama manifestation kuonyesha uzuri wa ndoa kitu ambacho ni non-sense,,, tukianzia humu humu JF,, wanao-omba ushauri kwa mabaya yanayotokea kwenye ndoa zao ni wengi kuliko unavyozani,,, hakuna hata mmoja ambaye alishaanzisha thread kuelezea mazuri ya ndoa zaidi ya kuwatukana wakataa ndoa.
 
Kwa hio ulitaka wanaoelezea mazuri yawe sawa na wanaoelezea mabaya ya ndoa,nonsense. proportion ya Mada za wanaotoa mabaya ndani ya JF as a whole in relative to mazuri ipoje kwanza? na kwa nini???
 
ROUND HII FEMINIST TUTAWANYOOSHA.

KATAA NDOA
HAKUNA KUOA
HAKUNA KUHONGA.[/COLOR]
TBS--Tomber Bure Sepa.

feminist washaanza kukubali mziki, si mnaona wanavyohaha kuanzisha nyuzi!
Screenshot_20230222-183331.png
 
ROUND HII FEMINIST TUTAWANYOOSHA.

KATAA NDOA
HAKUNA KUOA
HAKUNA KUHONGA.

TBS--Tomber Bure Sepa.

feminist washaanza kukubali mziki, si mnaona wanavyohaha kuanzisha nyuzi!
Utamnyoosha nani kakojoe ukalale huko.
 
Kwani si tulishakubaliana kataa ndoa wote ni mashoga

Mwanaume halisi huwezi ukakaa unapiga kelele "kataa ndoa" tena unamwambia mwanaume mwenzio unamaanisha nini!!!
Ameeeen!
 
Wewe endelea kuwa in denial,chake kitabaki kuwa chake na chako ni cha wote,mdivorce huyo mkeo ukumbane na hii harsh reality labda akili itakukaa sawa.

Again mimi nimeleta profile la mkataa ndoa, wewe ulipaswa kulipinga au kukubali, ingekua ishu ni ndoa nisingeileta hii topic hapa, nilitaka tujadili hizo criteria nilizoweka hapa

Sio ajabu huyu naye anakadegree.
Sasa hizo hoja zangu huelewi kuwa Nakubaliana na mada yako au naikataa😂😂

Ulidhani tupo Debate za shule ya msingi hapa?
 
Sio ajabu huyu naye anakadegree.
Sasa hizo hoja zangu huelewi kuwa Nakubaliana na mada yako au naikataa😂😂

Ulidhani tupo Debate za shule ya msingi hapa?
Chukua time,ningetaka kuongelea kwenye ndoa ningeweza kuchomekea kwenye topic zilizopo,mimi kuwa na degree ama kutokua nayo hayakuhusu,sina mazoea na ma misogynists mimi. Hujaielewa mada yangu period.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom