binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,119
- 34,444
Aiseeee! Japo mimi ni open minded ila hii yako ina bounce! Kuhudumiwa ni kuhudumiwa hakuna definition nyingine acha kukaza kichwa.Wenye ubinafsi ni wale wa chako chako cha Mumeo chenu.
Pili, ni ubinafsi mkubwa kuolewa/ Kuoa ili uhudumiwe,
Kimsingi ukishakuwa mwili mmoja hakuna msamiati kumhudumia MKE au Mume.
Hizo ni kauli za matapeli na wanyonyaji.
Kwenye upendo hakuna kauli kuhudumia, Ila kwenye Utapeli na ubinafsi lazima iwepo sheria za Huduma ili kudhibiti wabinafsi na matapeli.
Ni ngumu kuelewa ninachozungumzia na ndio maana ndoa zitaendelea kupiga mzinga, na kutesa wengi Kwa sababu zimejengwa katika misingi ya ubinafsi na Utapeli. Ndio kuna hayo mambo ya sijui nahudumiwa, sijui nahudumia. Huo ni Utapeli.
Kuhusu furaha ya MKE wangu. Furaha ya MKE wangu haijengwi kwenye mawazo na mitazamo ya kitapeli na Unyonyaji.
Imejengwa kwneye misingi ya Upendo, Haki na Ukweli.
Ndoa inaonekana ni Utapeli na itazidi kuwasumbua wengi Kwa sababu ya mawazo ya namna Hii.
Ndoa ni Upendo. Na upendo hauna mgawanyo wala kipimo.
Somo hili ni Pana, sio ajabu Watu wakasema Wanawake wengi Hawana Upendo Kwa sababu ya like kiitwacho kipimo.
Kwanini unalazimisha definition ya kuhudumiwa ibadilike? kuhudumia ni taking care acha kumanipulate situation bwana tutakuchoka!
Ni ngumu ndio kukuelewa unachozungumzia sababu hakipo hivyo, tutaelewaje kitu cha uongo au ambacho hakipo hivyo? yaani utupotoshe halafu tukuelewe.
Tunahudumiwa na tunawahudumia waume zetu PERIOD!
Sisi ndio wanawake, tunakuambia mkeo hawezi kuwa nafuraha elewa, wacha kuact as if mkeo ametokea mbinguni, afu ninyi wakataa ndoa wanafiki sana nimegundua 😂