Profile la kijana mkataa ndoa

Profile la kijana mkataa ndoa

Sasa wewe mkewe kakulalamikia kwa nini anaitwa 'wewe'....unajuaje kama mkewe ndio anapenda kuitwa hivyo??
hahahahaha, wamechoka ndiyo maana anamuita 'wewe'

Kuwa na michepuko kwani nyie msiooa hamna michepuko???, tena nyie msiooa ndio mnaendekeza uasherati na hizo ARV ni nyie ndio mnaoongoza kumeza,
ndoani ngoma(umeme) inachezwa sana, mke anatoa uchi nje, mme ana malaya kila mtaa
wanakutana wanakulana kavu, ME anampa umeme KE , au KE anampa umeme ME

huo ujinga mimi sifnayi, na mwenye akili timamu hafanyi

Ndoa Ni Ujinga
 
Nina marafiki na majirani wameoa, anamuita mkewe "wewe"
dah hua nacheka sana chini chini
ndiyo wanaoongoza kuwa na michepuko, ndiyo wanaoongoza kumeza ARV

hua nacheka sana, nasema hihihihi mmeyakanyaga
Mtaani kuna Mke wa mtu anakunywa hvyo vidonge, alivyo akili ndogo alikuwa anaviweka chumba cha watoto… siku ya siku watoto kuona kumuonesha baba yao.. ulizuka mtiti balaa.. now sio siri tena mtaa Mzima wanajua
 
Ukibahatika mtoto wa kike, kimbilio lake na mashauri mbali mbali litakuwa wapi kama hutaki kuoa?

Au uliozaa nao ni makubaliano uwe sperm donor au?
Main:- "Sijaona sababu ya kuoa"

Nina watoto wawili, imebakia Kazi ya kutafuta HELA tu na nazitafuta sanaa, inshalaah NITAZIPATA.

#YNWA
 
hahahahaha, wamechoka ndiyo maana anamuita 'wewe'


ndoani ngoma(umeme) inachezwa sana, mke anatoa uchi nje, mme ana malaya kila mtaa
wanakutana wanakulana kavu, ME anampa umeme KE , au KE anampa umeme ME

huo ujinga mimi sifnayi, na mwenye akili timamu hafanyi

Ndoa Ni Ujinga

Kuchokana wewe umejuaje?????????

Eti ujinga hufanyi, nenda kajiunge umishenari, kama ni umalaya ni nyie msiotaka ndoa ndio mnauendekeza which means kupeana umeme ni nyie ndio mnaabudu.
 
Kuchokana wewe umejuaje?????????

Eti ujinga hufanyi, nenda kajiunge umishenari, kama ni umalaya ni nyie msiotaka ndoa ndio mnauendekeza which means kupeana umeme ni nyie ndio mnaabudu.
najua maana ni majirani, kila siku ni kupelekana kwa mjumbe , na ugomvi usioisha
jamaa kaningonea usiku alale sakafuni ( kwangu sebleni )
kagombana na KE usiku wa saa 7

jamaa namuonea huruma,

Ndoa Ilaaniwe Kwa Nguvu Zote
 
6.wanamiliki madidlo wanajichokonoa nyuma kwa vidole ama wanajiingizia vitu venye urefu kama Wa marker pen ili kufeel inakuwaje kufirw.....oeni vijana mpate changamoto maisha ya ndoa yana raha Na karaha ila ni karaha za kukuchangamsha unless kama ukimfumania muache ila kama ni tabia mbaya basis muelekeze ataelewa tu Na we we una mapungufu..nakupenda mama kija Wangu

NB:sijafunga harusi official ila naishi naye mwaka Wa Pili sasa kuna kipindi anasiakiaga habari za Mimi kumcheat ila ananivumilia sana Na pombe zangu duh
Tangu uandike utumbo wa kuwasihi watu wazae eti wanakuja na sahani yao
 
Hahaaa baki na ndoa yako isiyo na furaha.

Hakuna mwanamke asiyependa kuhudumiwa, Fact.

furaha ya kunyonyana?
Vijana waendelee kukataa makupe kama ninyi, mnaingia ndoani kutafuta Ajira ya kulishwa na kuvishwa kama mifugo.

Wanawake wenye Akili hawahudumiwi, Ila wanafanya Maisha pamoja na waume zao. Ni wasaidizi wa waume zao sio wanyonyaji. Kwa kisingizio cha MKE SIJUI UPUUZI GANI.

Ukahaba ndio unaita Ndoa,
Yaani bila Pesa hakuna ndoa, bila Mahari hakuna Ndoa. Huoni hiyo ni biashara?
Wewe tafuta hiyo misukule mliozoea kuitumikisha iwahudumie.

Sisi tunaoa Wake Bora, wenye ubepari. Ili ule lazima ufanye kazi
W
 
Kwani si tulishakubaliana kataa ndoa wote ni mashoga

Mwanaume halisi huwezi ukakaa unapiga kelele "kataa ndoa" tena unamwambia mwanaume mwenzio unamaanisha nini!!!
Kumtuhumu mwanaume ambaye ni rijali kuwa ni shoga kwa sababu ya view zake kuhusu chqngamoto za ndoa ni kujilisha upepo tu.

Mimi naona vijana wana hoja na jamii inayokubali hoja haitaki kuwssikiliza ili kuzikabili hizo changamoto badala yake jamii inalazimisha ndoa hata kama mfumo wake ni mbovu.

Hizi ndoa za siku hizi ni tofauti na mpango wa Mungu. Ndoa hamilikowi na kanisa au msikiti. Ndoa ni taasisi inayojitegemea..... inapaswa kujafiliana badala ya kutishana na kudhalilishana
 
najua maana ni majirani, kila siku ni kupelekana kwa mjumbe , na ugomvi usioisha
jamaa kaningonea usiku alale sakafuni ( kwangu sebleni )
kagombana na KE usiku wa saa 7

jamaa namuonea huruma,

Ndoa Ilaaniwe Kwa Nguvu Zote
Unadanganyika na migongano?? vinagongana vikombe kabatini itakua watu???so long wako pamoja hao ni wamoja,,,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom