Anita Makirita
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 1,409
- 2,254
- Thread starter
- #401
Kwako au???Hata uchungu wako Ni utapeli
Kwako au???Hata uchungu wako Ni utapeli
Ndo ulichoambulia kwa rasi simbamisogynist
yeah wewe uliambulia nini mwenzangu?Ndo ulichoambulia kwa rasi simba
Sa mbna unatulazimisha tuoeBaki kuwa padre nani kakupangia maisha?
Kataa ndoayeah wewe uliambulia nini mwenzangu?
good for you!Kataa ndoa
Aiseee umenichekesha sana mdogo wangu, kwamba wawaache hamuhusiki!Ushoga unatajwa sanaaa, ili hali wanao pinga hizo ndoa ni straight, muwapumzishe mashoga kwenye movements zenu.
Wamechokaaaaaa.
Ila wewe nawe! kama haya unayoyahubiri ndio unayatekeleza kwa 100% your wife will never find peace, hatokaa apate furaha maisha, na ni bora umwambie aondoke, au hana pa kwenda? watu wanaogopa kukwambia ukweli acha mi nikwambie.
Mke anahudumiwa na mumewe, na mke anamhudumia mumewe kwa vitu ambavyo si lazima iwe financially, kama ni financially basi iwe ni usaidizi tu. Haimaanishi mke pesa yake iende pasipojulikana.
Hubirini ukweli acheni upotoshaji. Kwamba? Kuhudumiwa ni kunyonya? Yaani mume kwa upendo wake aamue kumhudumia mkewe mke aitwe mnyonyaji?
Unyonyaji ni uporaji wa pesa pasipo consent ya mhusika au by manipulation, au kwa ushirikina. Naelewa dhana ya unyonyaji kama mnavyoitumia ila hilo la kuhudumiwa usiliweke kwenye unyonyaji.
Unataka kusemaje? Tunaowanunulia wanaume zetu material stuffs pia tunanyonywa? au unyonyaji anafanya mke tu?
Acheni ubinafsi, ndio maana hoja ya mleta hoja ya ubinafsi na uchoyo inaweza kuwa na mashiko.
Koma wewe, naona umenitafuta kwenye ile thread nyingine hujaridhika umekuja na huku, call it whatever ila ndio hivyo mwanamke matunzoLidangaji hilo limwanamke kwa kivuli cha ndoa. Nimelishtukia kitambo sana. Kununuliwa linaita kuhudumiwa.
Mimi binafsi siafiki watu kutokuoa hiv kuna raha gani kuishi maisha ya kibachela? Ndoa ina raha hasa ukimpata mtu sahihi wa kuishi nae mtabadilishana ideas,kusaidiana kwenye mambo mbalimbali, mtafarijiana kama ni changamoto ni sehemu ya maisha hata uwe umeoa au hujaoa bado utakutana nazo ila mnapokuwa wawili ni rahisi zaidi kuliko pekee yako.Mm mpenz mtazamaji 😂😂
Wow! seems bro ako huyo shoga alikusimulia jinsi gangstar nilivyomtoboa huko matakoni.Ungekuwa na uwezo huo usingejipitisha kwa wanaume wenzio,
Unamuonyesha upendo kwa kufanya nini hasa????Wenye ubinafsi ni wale wa chako chako cha Mumeo chenu.
Pili, ni ubinafsi mkubwa kuolewa/ Kuoa ili uhudumiwe,
Kimsingi ukishakuwa mwili mmoja hakuna msamiati kumhudumia MKE au Mume.
Hizo ni kauli za matapeli na wanyonyaji.
Kwenye upendo hakuna kauli kuhudumia, Ila kwenye Utapeli na ubinafsi lazima iwepo sheria za Huduma ili kudhibiti wabinafsi na matapeli.
Ni ngumu kuelewa ninachozungumzia na ndio maana ndoa zitaendelea kupiga mzinga, na kutesa wengi Kwa sababu zimejengwa katika misingi ya ubinafsi na Utapeli. Ndio kuna hayo mambo ya sijui nahudumiwa, sijui nahudumia. Huo ni Utapeli.
Kuhusu furaha ya MKE wangu. Furaha ya MKE wangu haijengwi kwenye mawazo na mitazamo ya kitapeli na Unyonyaji.
Imejengwa kwneye misingi ya Upendo, Haki na Ukweli.
Ndoa inaonekana ni Utapeli na itazidi kuwasumbua wengi Kwa sababu ya mawazo ya namna Hii.
Ndoa ni Upendo. Na upendo hauna mgawanyo wala kipimo.
Somo hili ni Pana, sio ajabu Watu wakasema Wanawake wengi Hawana Upendo Kwa sababu ya like kiitwacho kipimo.
Kabisa shida hatuna bahat kupata watu sahihi lkn ukipata unaenjoy tuMimi binafsi siafiki watu kutokuoa hiv kuna raha gani kuishi maisha ya kibachela? Ndoa ina raha hasa ukimpata mtu sahihi wa kuishi nae mtabadilishana ideas,kusaidiana kwenye mambo mbalimbali, mtafarijiana kama ni changamoto ni sehemu ya maisha hata uwe umeoa au hujaoa bado utakutana nazo ila mnapokuwa wawili ni rahisi zaidi kuliko pekee yako. Kwanza ndoa ni Agizo la Mungu ni lazima tutii Hili, shida ninayoona wengi wanaanzisha hii kampeni ya kataa ndoa ni kwasababu wajeruhiwa au wanayaona kupitia watu wao wakaribu ila wanatakiwa wajue kwamba sio wanawake wote ni useless au Wanaume wote hawafai shida inaanzia unapochagua Unaweza pia wewe mwenyewe ukawa sio sahihi ila uliompata ni sahihi au wewe ukawa sahihi unayompata asiwe sahihi muhimu zaidi angalia aina ya mtu unayeingia nae kwenye ndoa Hilo ni la muhimu sana ili kupata ndoa yenye upendo na amani.
Nonsense.....
Nani alimuaminisha nani nini???..Lini????
Huo mfumo wa mwanamke kupenda kuhudumiwa mpaka leo umekua hulka sio asili ni umejengwa, ulianza kujengwa karne ya ngapi ???
Usikimbie swali, nimekuuliza lini tumejengewa hio mifumo ya sisi kuhudumiwa, karne gani na nani??? ukiniquote jibu hili swali....Wewe ukiulizwa nature imeanza lini utajibu?
Unauliza maswali kama MTU aliyefyatuka.
Unahudumiwa umekuwa maiti?
Mbona mnapenda kujidharau na kudharaulika?
Yaani MTU na Akili timamu husikii aibu kusema unahudumiwa.
Ndoa ni umoja na ushrikiano, ndoa ni Upendo.
Ukishakuwa kwenye serikali wewe ni sehemu ya Serikali.
Ukiwa kwenye Ndoa wewe ni sehemu ya Ndoa.
Unahudumiwaje?
Ukishakuwa na mtizamo huo lazima ndoa ikusumbue Kwa sababu unakuwa sio sehemu ya Ndoa.
Sijui hizi Akili ni zawapi walahi
hata ukiona mtoto anakataa shule jaribu kuchunguza kwanini anakataa? utakuta pengine shule anapigwa sana fimbo, au kuna wanafunzi wenzake wanamnyanyasa mpaka anashindwa kufocus kwenye masomo.Naunga mkono hoja kwani migogoro ya haina umri wala .ndoa za sasa hali mbaya mi mwezi 11 mwaka jana kuna bro kafa kanywa sumu .kisa mke ananyanyaswa na mke.hoja yako ya msingi sana
Unamuonyesha upendo kwa kufanya nini hasa????