Profile la kijana mkataa ndoa

Profile la kijana mkataa ndoa

1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30's and under...

2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially..

3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.

4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,

5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.


Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
Hapo kwenye miaka umekosea sana. Ni kati ya 23 - 29
 
Mbona mama yako alikuzaa mtoto unachukia wanawake kama yeye????

ETI wanaomba wapewe mitaji si ndio kuhudumiwa kwenyewe huko??? usimpe mkeo mtaji basi si ni libepari?!

😂😂😂
Nilikuambia humu Kwa ujinga wako utawatukana Wanawake wenzako wote humu.
Hilo haliniumi Kwa sababu ni kitu cha kawaida Kwa Watu wa Aina yako.
Ulitoka Kwa MKE wangu Sophia, sasa upo Kwa Mama yangu, hatua yako inayofuata ninaijua.😂😂😂

Rejea post ya juu nilikuambia humu utatukana Wanawake wenzako wote.
Subiri t
 
Kwani mnaoa na kuolewa ili iweje?
1.Kuendeleza ukoo?
2.Kutoa aibu/nuksi?
3.Kulazimishwa?
4.Ongeza wewe.

Baada ya yote haya!!! Nini kinafuata?
 
😀😀😀
Sophia! Sophia!
Unafurahia mwenyewe.

Hawa matapeli unawajua unawasikia
Kumbe Wanaume wanapenda kuoa bhna ila sema wanapigwa sana na vitu vizito ndo maana 😀
Tufanye mkutano wa maombi Kwa ajili yenu
 
😂😂😂
Nilikuambia humu Kwa ujinga wako utawatukana Wanawake wenzako wote humu.
Hilo haliniumi Kwa sababu ni kitu cha kawaida Kwa Watu wa Aina yako.
Ulitoka Kwa MKE wangu Sophia, sasa upo Kwa Mama yangu, hatua yako inayofuata ninaijua.😂😂😂

Rejea post ya juu nilikuambia humu utatukana Wanawake wenzako wote.
Subiri t
Wewe unayechukia wanawake leo unataka kuwa mtetezi wao?! au umeshaanza kuona uwerevu wao????

Mama yako ndio amekuzaa mtoto unachukia wanawake ndio,kwani hili ni tusi au ni FACT?!
 
Wewe unayechukia wanawake leo unataka kuwa mtetezi wao?! au umeshaanza kuona uwerevu wao????

Mama yako ndio amekuzaa mtoto unachukia wanawake ndio,kwani hili ni tusi au ni FACT?!

Mimi sio mtetezi WA MTU
Ninatetea Haki na Ukweli.

Nishakuambia hatua zako zote nimezipima, bado hatua tatu.
Tuendelee umalize hatua zako nikalale😂
 
I think walizozitunga waliangalia time, namaanisha wewe ukiachana na mkeo una uhakika wa kupata mke mwingine,,ila sio rahisi kwa mwanamke kupata mume mwingine ingawa wapo wanaopata waume wengine, hivyo muda unakuwa umepotezwa pia na kulea kuna consume time, hivyo time is the biggest factor,
Iyo ilikua applicable kwa zamani ambapo wanawake walinyimwa fursa nyingi za elimu na uchumi na wengi wao walikua wanajua nafasi zao kwenye familia lakini kwa sasa 50/50 imeshamili tuna wanawake wengi ambao wanamiliki biashara na wana kazi nzuri na pia wameelimika na kwa kujua kwamba sheria inawabeba wengi wanafanya ulaghai kwa kuyaangalia mahusiano na ndoa kwa ujumla kama financial breakthrough kwaiyo izo sheria zipo outdated ni wakati sasa wa sheria kumwangalia mwanamke kama predator na sio innocent creature kama ilivyo sasa, sheria za masuala ya ndoa na mahusiano kuna mambo mengi sana ya kuyarekebishwa, wanawake mmeamua kuwa wakali na kuleta kejeri kwenye hili suala kwa sababu mnajua nyie ni wanufaika
 
Kumbe Wanaume wanapenda kuoa bhna ila sema wanapigwa sana na vitu vizito ndo maana 😀
Tufanye mkutano wa maombi Kwa ajili yenu

Sio wanaume tuu, ni wote. Uhuni, Utapeli, dhulma, ukatili ndio inaitwa NDOA. Alafu unaambiwa vumilia. Huo si upumbavu.

Ogopa unaoa alafu muda huohuo unamsikia Mwanamke anakuambia hakuna mwanaume WA pekeako, sasa hiyo ni Ndoa au Utapeli
 
Mimi sio mtetezi WA MTU
Ninatetea Haki na Ukweli.

Nishakuambia hatua zako zote nimezipima, bado hatua tatu.
Tuendelee umalize hatua zako nikalale😂
Hahhah haki na ukweli unaoutetea ni upi na umeanza lini????wewe ambaye kila mwanamke kwako ni zimwi lisilofaa kujaliwa,leo unatetea lipi???

Eti umepima, umepimia kwa kipimo gani????tuambie?lol
 
Ukishakuwa mjinga lazima ukutane na Hali Hii pale ukikutana na Mimi.
Ndicho kilichotokea baina yetu.

Ni mjinga alafu anamawazo ya kinyonyaji
Koma wewe, una lipi uliloandika la maana, au hizi kejeli unaona unaandika kitu?!

Mjinga sophy sio mimi...kwa kuolewa na lijitu lenye mawazo ya kijima kama yako.
 
Funny wanawake kutumia nguvu kiasi hiki ili ndoa iendelee kuwepo

Ndoa ni biashara ambayo Kwa mwanaume hailipi now days
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom