Profile la kijana mkataa ndoa

Profile la kijana mkataa ndoa

Mimi sinachuki na MTU.
Kuwaambia ukweli mnaita chuki.

Ukiwa Mwanamke lazima uwe MKE kweli.
Tafuta ujuzi kama ni mwalimu, au Daktari, au mwanasheria, au MPISHI, au fundi Nguo, n.k.
Zalisha uchangie Pato la Familia.
Sio uwe Kupe nyonyaji, utake kuhudumiwa kama Maiti au Mdoli, huo ni uvivu na dalili ya ujinga.

MKE ni Msaidizi, unaolewa ili ufanye Maisha na Mumeo na sio Mumeo akuhudumie wewe kama NGEDERE WA maonyesho.
sijakurupuka kusema wewe unachukia wanawake, sijabase kwenye topic moja tu, wewe unachukia wanawake....halafu nimejua nabishana na mtu mmoja anayejifanya kutoelewa....ila twende hivyo hivyo
 
Umepoteza muda bure.
Ukioa Mwanamke wa Aina Hii lazima uzae kizazi kivivu, kizembe, kibinafsi na fukara.
Huwezi OA Mwanamke wa Aina Hii alafu ukawa tajiri hata siku moja.

Angalia jamii zinazotoa Wanawake tegemezi alafu uone zilivyomaskini.
Yaani Mwanamke anategemea ndoa ndio biashara alafu akistaafu/wakitalakiana apate mafao yake ilhali hakuna alichochangia.


H
Zitaje hizo jamiii zinazotoa wanawake tegemezi?!
 
sijakurupuka kusema wewe unachukia wanawake, sijabase kwenye topic moja tu, wewe unachukia wanawake....halafu nimejua nabishana na mtu mmoja anayejifanya kutoelewa....ila twende hivyo hivyo

Ninyi mmezoea kuambiwa uongouongo ndio muone mnapendwa.
Mkiambiwa ukweli mnaona mnachukiwa.

Utajua mwenyewe wewe na wote wenye Mtazamo huo.

Nimelelewa na wanawake, nimekuzwa nao, nimeoa na ninamke alafu useme ninawachukia. Situmii Fake ID, ninandugu humu, ninamarafiki humu wakike, Nina wafanyabiashara wenzangu humu,

Ninamajirani zangu humu, hao ndio wanajua uhalisia wangu ukoje.
 
hapana, iko vile vile
ME wengi wakigundua nguvu ya BabyCare wallahi mbona KE watakosa soko
Hakuna replacement ya mwanamke acha upotoshaji.

Punyeto ni dharura tu hata wanawake wanafanya yao lakini mwanamke mwenye homoni ziko sawa hawezi kukwambia kuna mbadala wa mwanaume.

Ingekuwa hivyo basi wanawake wangekubali kuolewa na makhanisi wanyonywe nyuchi zao na kutiwa vidole wakojowe, jiulize Kwa nini mwanamke atanyonywa uchi lakini finally anataka boro?

Boro yake kumer usidanganye Watoto wasiojitambuwa humu, huo ni ubinafsi kupitia kiasi.

Naunga mkono asiyetaka ndoa Kwa sababu zake fine, lakini siungi mkono kampeni yako ya kuzalisha makhanisi ili baadaye wafilwe huu ni uboya.

Kataa ndoa nunuwa Malaya ukojowe hilo naunga mkono.
 
Kwa hio msaidizi mke alikua hauhudumiwi?????Shida yako ni kuhudumia??? kaazi kweli kweli...nilisema pale juu most mko financially insecured sijui kama ulinielewa???? mwanaume financially yuko njema sidhani kama ataona shida kumhudumia mke wake...

Inamaana dada yangu ndoa nikwa walio financially stable tu? ndio manaa vijana wanapinga unyonyaji kwanini ulazimishe kuhudumiwa wakati mtu hana uwezo wakukuhudumia? kama ndoa ni kwa ajili ya wanaume walio financially stable basi hoja za wazee wakataa ndoa niunyonyaji nautapeli wako sahihi,maana sio lazima tulingen uchumi dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna replacement ya mwanamke acha upotoshaji.

Punyeto ni dharura tu hata wanawake wanafanya yao lakini mwanamke mwenye homoni ziko sawa hawezi kukwambia kuna mbadala wa mwanaume.

Ingekuwa hivyo basi wanawake wangekubali kuolewa na makhanisi wanyonywe nyuchi zao na kutowa vidole wakojowe, jiulize Kwa nini mwanamke atanyonywa uchi lakini finally anataka boro?

Boro yake kumer usidanganye Watoto wadiojitambuwa humu, huo ni ubinafsi kupitia kiasi.

Naunga mkono asiyetaka ndoa Kwa sababu zake fine, lakini siungi mkono kampeni yako ya kuzalisha makhanisi ile baadaye wafilwe huu ni uboya.

Kataa ndoa nunuwa Malaya ukojowe hilo naunga mkono.
uko nje ya mada mkuu

nimesema mimi binafsi punyeto ni replacement ya mwanamke, mimi binafsi

shida yangu ni kukojoa tu, na BabyCare yangu inatimiza hilo
 
Ninyi mmezoea kuambiwa uongouongo ndio muone mnapendwa.
Mkiambiwa ukweli mnaona mnachukiwa.

Utajua mwenyewe wewe na wote wenye Mtazamo huo.

Nimelelewa na wanawake, nimekuzwa nao, nimeoa na ninamke alafu useme ninawachukia. Situmii Fake ID, ninandugu humu, ninamarafiki humu wakike, Nina wafanyabiashara wenzangu humu,

Ninamajirani zangu humu, hao ndio wanajua uhalisia wangu ukoje.
haaaa Kulelewa na mwanamke au kuoa mwanamke hakukufanyi wewe kuwa sio mMisogynist!...utetezi wa kijinga kabisa huu.... unamchukia mama yako subconsciously na mkeo hana furaha sababu wewe unachukia wanawake, so kua nae sio ishu....kitendo chako kila ukizungumzia wanawake ni negatively kinakufanya wewe ni mchukia wanawake sio hao majirani zako
 
Nonsense, eti kama anapretend atajua mwenyewe....moja inaonyesha hujali hata hio ndoa yako...sijui kwa nini watu wakusikilize wakati hata ndoa yako mwenyewe mkeo hujui kama ana pretend or not,,,,,,,,,,

Kumhudumia mwanamke ndio unaita ukahaba????? utasema yote lakini mwanaume rijali anajua mwanamke matunzo!

Baki na mkeo anayejifanya mzalishaji mali, hapendi kuhudumiwa, wakati wewe mumewe hujui kama ana pretend kwenye hili or not....

Halafu ungekuwa mjanja ungejua kuzalisha mali wote haihusiani na wewe kutotaka kumhudumia mkeo!

Unaongea vitu ambavyo mtoto Mdogo angevieleza.

Wewe Subiri misukule ya kuinyonya Ila wanaume wa maana utawasikia kwenye redio tuu.

Kwenye Ndoa hakuna kipengele cha kuhudumiwa MKE. MKE ni sehemu ya familia iweje ahudumiwe?
Hivi hizi Akili mnazitoa wapi?
MKE ni sehemu ya mamlaka ya serikali ya familia sasa iweje useme anahudumiwa?

Huko ni kutengeneza mazingira ya Unyonyaji, ndio tunaita Ukupe na ukahaba.
Ushaambiwa MKE na Mume ni mwili mmoja alafu Kwa uelewa wako Mdogo au WA kitapeli unataka uhudumiwe.😂😂

Subiri wanaume wa level YAKO
 
1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30's and under...

2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially..

3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.

4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,

5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.


Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.
ni wavivu tu wanatunzwa na sugar mummies
 
Inamaana dada yangu ndoa nikwa walio financially stable tu??ndio manaa vinana wanapinga unyonyaji kwann ulazimishe kuhudumiwa wakati mtu hana uwezo wakukuhudumia???kama ndoa ni kwa ajili ya wanaume walio financially stable basi hoja za wazee wakataa ndoa niunyonyaji nautapeli wako sahihi,maana sio lazima tulingen uchumi dada.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nani kalazimisha kuhudumiwa kama uwezo hakuna???? financially stable nimemaanisha ukiwa hivyo hutaona kuna shida kumhudumia mkeo, ila ukiwa financially unstable ndio utaona kila kitu ni utapeli...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom