Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

Miaka yote hiyoo hawajawahi kuona jf haijasajiliwa, waje waone leo!!!!.kuna hata mawaziri humu ndani .hawakuliona hili? Kuna walakini hapo au ndio waneshindwa kupata mashitaka ya kumshitaki Mello.
Tena mwigulu yuko humu
UNAJUA TUNAWEZA KUWA TUNAMNYOOSHEA KIDOLE BWANA MKUBWA KULE JUU LAKINI INAWEZA KUWA HAWA MAPIMBI HAPA CHINI NDIYO CHANZO CHA YOTE HAYA.

TIZAMA TU BACKGROUND YAO HAWANA EXPOSURE KABISA WENGI WAO WAMETOKA KULIMA MAHINDI HUKO VIJIJINI NA KUCHUNGA NG'OMBE NA MARA YA KWANZA KUJA DAR ES SALAAM ILIKUWA WAKATI WANAKUJA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU.

MPAKA LEO HII VICHWANI BADO KUNA HARUFU ZA MAVI YA KUKU, NG'OMBE NA MBUZI SASA UNATEGEMEA NINI WAKIINGIA KWENYE OFISI ZENYE VIYOYOZI ACHILIA MBALI HAYO MAGARI MAKUBWA.

LAZIMA WAJIONE MUNGU WATU SABABU HAWAJUI DUNIA YA SASA INAENDAJE?
Hahahahaaa.....mkuu umesomeka
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
kaandika kwenye mtaandao ili wenye mamlaka wakimbana,iwe rahisi kutamka "account sio yangu,bali kuna mtu anatumia jina langu vibaya".
 
huyu prof sometimes n mnafik sana,c kada huyu wa chama kile cha mafisiem? au anatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa il watu 2sahau suala la saa nane?
 
"Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafla,wala hapati dawa" Mithali 29:1
 
Swali dogo. Prof Shivji (msomi nguli huyu) na wasomi nguli na wanaoheshimika hapa Tanzania, kwa nini hatumii maarifa na ubobezi wao kuiepusha nchi na hatari zinazoweza kusababishwa na viongozi wa kuchaguliwa?

Wewe unajua role ya Prof Shivji? Hao kina Lissu, Kitila ni zao la Kazi ya kina Shivji! Kazi ya Prof ni kusema, kukosoa na kuzalisha Wasomi Kama Taifa lenyewe limewekeza kwny Singeli na Vigodoro vya Kisiasa yeye atafanyaje?
 
huyu prof sometimes n mnafik sana,c kada huyu wa chama kile cha mafisiem? au anatupaka mafuta kwa mgongo wa chupa il watu 2sahau suala la saa nane?

Unafiki kwa Kamusi ya Nyumbu ni kutounga Mkono Mawazo yote ya Mbowe!

Kwa Kuwa Ben Saanane Kajificha Basi Prof Shivji Hana Ruhusa ya kuandika Mawazo yake Mtandaoni.
 
Wewe unajua role ya Prof Shivji? Hao kina Lissu, Kitila ni zao la Kazi ya kina Shivji! Kazi ya Prof ni kusema, kukosoa na kuzalisha Wasomi Kama Taifa lenyewe limewekeza kwny Singeli na Vigodoro vya Kisiasa yeye atafanyaje?

Mkuu Pohamba heshima kwako.

Nasikitika kuona ulivyoenda off-point. Unamaanisha Prof Shivji ameanza kuzalisha wasomi miaka 10 iliyopita? Unaaminisha Prof Shivji hafanyi evaluation ya kazi zake? Anyway nimeona maoni yako.
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].

Hiyo tweet yake imekufikia sio kwa sababu ulienda kwenye twitter na wala sio follower wake. Kuna uwezekano mkubwa ikatoka hapa na kuelekea kwenye WhatsApp, halafu kutoka kwenye WhatsApp kuelekea kwenye SMS za kawaida.

Halafu kwani ujumbe huo ni wa nani? yaani anapelekewa nani? Na wewe kwa nini unataka iwe wananchi?
 
Moyo unalia lakini machozi hayaonekani na hayataonekana lakini babu alisema moyo ukilia we Kunywa maji baridi halafu Ongea ili maumivu yapotelee angani kwa muumba wetu
 
Alipotoa Maoni yake kuwa bora zibaki Serikal Mbili aliitwa Mnafiki akatukanwa sana humu Kama vile Yeye haruhusiwi kuwa na Mawazo binafsi!
Hiki Kizazi cha Zika kimeshaalaaniwa!
Si kila mara mtu ni mwema na si kila mara ni mdhambi. Unapohamia upande wa nuru tunakuona kukukaribisha na kukupongeza. Ukibaki gizani tunaendelea kutupa mawe ya ukweli hadi yatakaowapata wazinduke.
 
Watu tunajidai kuupeda utawala wa sheria lakini utawala wa sheria ukifuata mchakato wa kusimamia sheria kila mmoja wetu anasahau utawala wa sheria anaamua kuwa jaji au hakimu pasipo kuwa na weledi wa kufanya hivyo. Tutafakari, kila mmoja wetu akizifahamu taratibu za kisheria na tukiamua kuwa wakweli hatutakuwa tukiogelea katika bwawa la uongo na uzandiki kutoka kwa watu ambao tunajiaminisha eti wanajua kufikiri zaidi ya wengine wote.
Unafuataje sheria za kihuni km ile ya majuzi watu walihongwa milioni kumi kumi waipitishe? Yaani utibge sheria ya kishetani afu uambie watu kuwa waungwana kufuata sheria? Acha ujinga jamaa
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
Wewe ujumbe huu umeupataje?
 
Back
Top Bottom