Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

Professor Shivji avunja Ukimya juu ya Maxence Melo

Twitter ni social media inafaa kabisa kufikisha ujumbe. Wewe mbona maono yako madogo sana? Lengo la Shivji ni kufikia hadhira ya Watanzania na dunia pia. Twitter imefanikisha hili. Si umeona hata wewe umeshapata habari? Hilo ndiyo lengo kuu......si vinginevyo.
watanzania bwana yani sasa shivji ni mtu safi,Alivyo tugeuka kwenye katiba yetu
 
Miaka yote hiyoo hawajawahi kuona jf haijasajiliwa, waje waone leo!!!!.kuna hata mawaziri humu ndani .hawakuliona hili? Kuna walakini hapo au ndio waneshindwa kupata mashitaka ya kumshitaki Mello.
 
Miaka yote hiyoo hawajawahi kuona jf haijasajiliwa, waje waone leo!!!!.kuna hata mawaziri humu ndani .hawakuliona hili? Kuna walakini hapo au ndio waneshindwa kupata mashitaka ya kumshitaki Mello.
Tena mwigulu yuko humu
 
watanzania bwana yani sasa shivji ni mtu safi,Alivyo tugeuka kwenye katiba yetu

Kuwa na Mawazo tofauti na yenu ni kuwageuka? Mnapinga Udikteta wa Serikal lakin Nanyi hamtaki kusikia Mtu akitoa Mawazo tofauti na yenu
 
Kuwa na Mawazo tofauti na yenu ni kuwageuka? Mnapinga Udikteta wa Serikal lakin Nanyi hamtaki kusikia Mtu akitoa Mawazo tofauti na yenu
kwani alikuwa ajui yote hya yansababshw na katiba mbovu
 
kwani alikuwa ajui yote hya yansababshw na katiba mbovu

Acha Ushamba!

Wakat wa Mchakato wa Katiba kila Mtu alikuwa na Uhuru wa kuwaza na kutangaza Mawazo yake.

Na Kwa kifupi tu Elewa Mgombea Urais wa UKAWA alipitisha tena kwa kura Rasimu ya Hayati Mzee Sitta Bungeni wakati huo UKAWA wakiwa wamesusa na kutoka nje lakin baada ya zoezi la Katiba kupitia wakamuomba nae akakubali kuwa Mgombea wa UKAWA !
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
Nadhani uko sahihi mkuu
 
Watu tunajidai kuupeda utawala wa sheria lakini utawala wa sheria ukifuata mchakato wa kusimamia sheria kila mmoja wetu anasahau utawala wa sheria anaamua kuwa jaji au hakimu pasipo kuwa na weledi wa kufanya hivyo. Tutafakari, kila mmoja wetu akizifahamu taratibu za kisheria na tukiamua kuwa wakweli hatutakuwa tukiogelea katika bwawa la uongo na uzandiki kutoka kwa watu ambao tunajiaminisha eti wanajua kufikiri zaidi ya wengine wote.
Hawa wanaolalama ni watu wapuuzi kwelikweli ni viumbe vya ajabu sana visivyo na uwezo wa kuchanganua mambo
 
They wrote in the old days that it is sweet and fitting to die for one's country. But in modern war, there is nothing sweet nor fitting in your dying. You will die like a dog for no good reason.”
 
Watanzania tulianza kupigania haki tangu enzi za mababu zetu akina Mkwawa, Isike, Chabruma, Mirambo, n.k. Wakati huo hakukuwa na mikataba ya kuheshimu haki ya kimataifa, hakukuwa na simu, hakukuwa na radio, internet, mitandao ya kijamii, wala TV lakini watu walijua wanatakiwa kuwa huru, hata kama uhuru huo haukuwa kwa tafsiri ya leo, lakini walijua kuwa walistahili uhuru na haki.

Akaja Mwalimu na wenzake, Mwinyi, Mkapa, na kisha Kikwete. Wakati wote huo tumeendelea kujenga Taifa ambalo tunataka liwe na uhuru kamili, demokrasia kamili, haki kamili, n.k. Hatujafika huko lakini tumekuwa tunapiga hatua. Kinachoshangaza sasa hivi badala ya kuzidi kupiga hatua kwenda mbele, tayari tunarudi nyuma.

Binadamu ni mtu huru ndiyo maana Mungu kamwumba kila mmoja na kichwa chake chenye ubongo unaojitegemea. Mtu yeyote anayetaka watu wote watumie ubongo wake kwa kila kitu, hawezi kufanikiwa, badala yake atasababisha matatizo makubwa.
Tuliachia mambo yaende hovyo kwa kisingizio cha uhuru uhuru lazima kuzingatia sheria
 
UNAJUA TUNAWEZA KUWA TUNAMNYOOSHEA KIDOLE BWANA MKUBWA KULE JUU LAKINI INAWEZA KUWA HAWA MAPIMBI HAPA CHINI NDIYO CHANZO CHA YOTE HAYA.

TIZAMA TU BACKGROUND YAO HAWANA EXPOSURE KABISA WENGI WAO WAMETOKA KULIMA MAHINDI HUKO VIJIJINI NA KUCHUNGA NG'OMBE NA MARA YA KWANZA KUJA DAR ES SALAAM ILIKUWA WAKATI WANAKUJA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU.

MPAKA LEO HII VICHWANI BADO KUNA HARUFU ZA MAVI YA KUKU, NG'OMBE NA MBUZI SASA UNATEGEMEA NINI WAKIINGIA KWENYE OFISI ZENYE VIYOYOZI ACHILIA MBALI HAYO MAGARI MAKUBWA.

LAZIMA WAJIONE MUNGU WATU SABABU HAWAJUI DUNIA YA SASA INAENDAJE?
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
Acha uzwazwa, Trump ana tweet kila uchao, je hatupati habari. Tulia sindano ndo zinachemshwa, hazichagui kijani wa red ni kudunga tu, teheee!!!
 
Shivji is just another spent force! Aliwatosa watanzania kipindi alichohitajika sana, kipindi cha bunge maalum la katiba! Aliwaogopa watawala taaluma akaiweka uvunguni! Kauli ya Shivji haiwezi kuwa na nguvu tena kama wakati wa "enzi zake"!
 
voltaire_free_speech_quote_banner.jpg
 
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
Hafanyi au haandiki ili kukuimpress ww,,uungwana wake haushuki kwa sababu tu ww hujafurahia,
 
Shivji kaandika kitu cha maana sana! Ila kingeandikwa na mtu mwingine kama Mzee Butiku au Jenerali ulimwengu kingekuwa na maana zaidi! Kwangu mimi mtu ambaye HANA msimamo huwa hana nafasi kabisa na wala huwa simuamini hata kidogo!!! Nikikumbuka wakati wa bunge la Katiba ya wananchi alichosema Prof huyu naona aibu hata kusema bandiko lake la leo lina maana yoyote! Kiongozi au mwanafalsafa asieamini hata aliyoandika mwenyewe ni hatari kuliko hata gaidi!
 
Bravo Prof. The country is heading toward unknown destination it is high time that intellectuals and well wishers to intervene and if possible through legal actions.

To be able to accomplish this the judicially branch should stand firm on the ground. There is an increasing trend that this branch of government is becoming timid, my conviction is that if the ongoing trend of directives from "juu" to the judicially is maintained peoples rights will be in jeopardy

Katika judiciary hii tunahitaji majaji kama waenzi hizo; wakina MWALUSANYA, LUGAKINGIRA wakiongozwa na CJ SAMATTA!! The bench had INDEPENDENCE and INTERGRITY and was not receiving directives from the executive!!
 
Back
Top Bottom