Naam prof kanyoosha, wacha waendelee kudhani nchi hii ni mali yao tu!
Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
Huyu Professor uwa sio mnafiki.......
Elimu yako unatakiwa uitumie kuongea ukweli......
Thanks professor.....
To be able to accomplish this the judicially branch should stand firm on the ground
Wasiwasi wangu ni kuwa inawezekanaje laana za mababu zikawashindwa "Malaika" waliotumwa kufungia mitandao? naona kama "Malaika" watashinda!! Dah Magu katuweza.Mababu ni wazee wenye busara zinazowakilishwa na nywele nyeupe kichwani[emoji4]
Kwakuwa wewe umeshaupata ujumbe, share na wengine waupate mkuu. Vinginevyo utakuwa unasumbuliwa na umasikini wa kufikiri na kutenda.Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].
Is it doing such a thing?
My friend ...jiulize Godbless yuko wapi?
Huyu ni kichefuchefu, usimtaje humu utatutapisha bure!Bado Lipumba
lizaboni ndio nani huyoalafu anakuja mtu anajiita sijui lizaboni anaona hawa wazee n wajnga