Mwelewa
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 2,343
- 3,286
Twitter ni social media inafaa kabisa kufikisha ujumbe. Wewe mbona maono yako madogo sana? Lengo la Shivji ni kufikia hadhira ya Watanzania na dunia pia. Twitter imefanikisha hili. Si umeona hata wewe umeshapata habari? Hilo ndiyo lengo kuu......si vinginevyo.Angeyasema haya live kwenye makongamano ningemuona muungwana kwelikweli lakini kuandika kwenye mitandao tena ambao wananchi wengi hawawezi pata ujumbe bado namuona walewale tu, [HASHTAG]#POPO[/HASHTAG].